waltham
JF-Expert Member
- Jan 23, 2014
- 2,522
- 1,045
Wakati mzungu ana tawala kenya, kulikuwa na level. Muzungu, muhindi, halfu mweusi. Mzungu kaondoka mweusi ka create level ya mweusi wingine. This slogan might help you "Cross over to Tanzania where everyone counts"
sielewi na unacholenga hapo lakini mie nje tanzania kuishi. forget it but for business I will be there anytime any day. na popote pale natatengeza hela duniani!!! mwenyeji awe mweusi, mwekundu, kijani kibichi nk.