Massive Two Rivers mall in Nairobi aggressively conquers East & Central Africa shopping experience

Sijaona mzungu yeyote hapa in any of these malls.. Soo wale watu wanasema zinajengewa wazungu sijui kama wamewai ingia ndani na kujuonea kwa macho..... Acheni wivu
Mwenye wivu unamfata kwao kulialia?
 
FB_IMG_1477779216631.jpg
 
Hahahaha, mkuu kejof2 vile unapelekesha hizi nyang'au nimecheka hadi mhudumu wa grocery ameduwaa.
 
Mwananchi-cartoon-121114.jpg

Gado-cartoon-East-African-Kikwete-170115.jpg

Aug-25-16-Magufuli-and-the-Opposition-595x450.jpg

MAG.jpeg

October-30-15-JPM-takes-Office.jpg

Dce-07-15-JPM-M7-and-Uganda.jpg

10155334_768718749901508_4763326043789346502_n-jpg.357615

just saying when your house is made of glass.........
 
Hahahaha, mkuu kejof2 vile unapelekesha hizi nyang'au nimecheka hadi mhudumu wa grocery ameduwaa.

Ahh!....ulikuwa kwenye harakati za kupata vikombe vyako vya maharage na kiroba nusu cha kushindia siku hapo kijiweni kama ilivyo kawaida yako?....pole kwa kusumbuliwa.
 
Weye siku zote ustaarabu huna!....hii syo hulka ya mtanzania, huenda weye wale wa "kuletwa" ama hata mwanaharamu......kalb wahed!
Pumbaf huku sio fb ama tweeter mnaposhindaga kupiga umbea wenu na sina haja ya kuwa mstaarabu kwa watu ambao kila siku hawatulii kwao kazi kulialia tu kwa majirani

Sent from my SM-G925F using JamiiForums mobile app
 
hivi visababu vyenu bado havijaisha..umeangalia izo picha za wazungu na warabu hapo juu wakiwa garden city,galleria.the hub,capital center...nadhani samuel999 amewaonyesha.tafuteni visababu vingine..this is getting really old

Ndugu yangu, Nairobi sio mbinguni, naitembelea sana, nenda down city center Nairobi let say nearby areas around National Archive, vijana mamia wanaranda randa na bahasha zao wakitafuata kazi, ukiwatizama sura zao zina njaa ... akienda mall hizi labda anaenda nunua mkate na show off. Let us be serious Nairobi has for a long time getting these western investment (haijaanza leo) which are mainly targeting wazungu and other foreigners living there. ninyi mnaopost picha humu kutwa nzima mnaendaga kununua mikate, kiwi, tooth paste au mswaki tu nakupigia picha. So no need kuwa proud off, siku mkisikia Kibera zinajengwa flats, njooni mjisifie humu nasi kwakweli tutawapigia makofi,...am out!!
 
yakaa ata hujielewi wewe.....hivi hujasikia kuhusu hiyo kibera upgrade inayoendelea..au hizo ghorofa zenye wakaazi wakibera walipewa majuzi zilikuwa zimejengwa baharini?alafu humake sense nahii reasoning yako..hiyo mikate huko kwa mamall iliekwa ili ioze uko ama inunuliwe?wafurahisha sana na kujiaibisha kabisa cz inakaa iq yako iko down kiasi
 
Ni Ushamba bwana.Achana nao...
 
Back
Top Bottom