saadeque
JF-Expert Member
- Feb 23, 2015
- 2,169
- 1,356
usijipe moyo wewe...hayo mamalls ni dalili ya kuwa uchumi unaenuka.naona hapo umetaja kina australia na japan.hao walikuwa kitambo ndio sijambo la kushangaza ila kwetu ni hatua tumepiga..watz wenzako walipiga fujo juu ya rock city then wasema mwafikiria tofauti..uache unafiki na upatie pongezi zinapostahiliUkiongea na watu ambao hawajatoka nje ya 18 yao utaona wanavyo fikiri. Vijengo kidogo hapa na nape basi ndio washatoboa. Wakati sehemu nyingine haya ni mambo ya kawaida tena hata hawayafikirii. Japan, south korea, Scandinavia, hata Australia wananchi wanaishi maisha ya kawaida sana bila maringo wala nini. Leo hii mtu anakuambia wana ma-dollar millionaire wengi, wakati wanasahahu poor million's wanaongezeka kila siku. Watz tunafikiriaga tofauti sana na wengine ndio maana hawatakuja kutuelewa.