game over
JF-Expert Member
- Jan 1, 2016
- 10,727
- 24,840
unamrushia madongo tu bila kuelewa vile ametumia density kubwa ya busara zake kukuelimisha wewe mwenye huge hollow skull,yakaa ata hujielewi wewe.....hivi hujasikia kuhusu hiyo kibera upgrade inayoendelea..au hizo ghorofa zenye wakaazi wakibera walipewa majuzi zilikuwa zimejengwa baharini?alafu humake sense nahii reasoning yako..hiyo mikate huko kwa mamall iliekwa ili ioze uko ama inunuliwe?wafurahisha sana na kujiaibisha kabisa cz inakaa iq yako iko down kiasi
Pitia comment yake tena huenda ukaokota chochote.