Massive Two Rivers mall in Nairobi aggressively conquers East & Central Africa shopping experience

Nijibu vipi swali wakati swali langu la awali halijajibiwa?

Uungwana ni kujibu swali uliloulizwa kisha uulize pia, how comes u answer qns by qns?
umeniuliza swali kweli wewe ama ulikua wasimanga na kuponda
 
umeniuliza swali kweli wewe ama ulikua wasimanga na kuponda
Lengo langu tangu mwanzoni sio kuwaponda wakenya wala kuiponda kenya...hayo yote wameanzisha nyang'au wenye dharau na kauzibe kwa watz.

Btw, kuna mshkaji s'body 1Africa ndiye hasaa hayo maswali yalimwangukia ili nami nijibu yake.
 
Lengo langu tangu mwanzoni sio kuwaponda wakenya wala kuiponda kenya...hayo yote wameanzisha nyang'au wenye dharau na kauzibe kwa watz.

Btw, kuna mshkaji s'body 1Africa ndiye hasaa hayo maswali yalimwangukia ili nami nijibu yake.
wajua kinachonishangaza ni vile wasema malls zimejaa tu kwa mitaa ya matajiri...."wazungu",kama vile unavyosema wakati ukihesabu hizo malls kwa hiyo mitaa ni kidogo sana.malls zimejaa thika road,embakasi,westlands,eastleigh,mombasa road,nyali mombasa,machakos langata road...yani hizo zote zimejengwa na wazungu
 
Whites account for less than 0.2% of Kenya's population. So please, give me a break.
Those malls you've been to;
Mulleys- owner Peter Mullei
Gateway - Kimanzini
 
Wanavopiga kelele kama peponi huko ukifika kumbe shida tupu watu wenyewe hadi nchi yao wenyewe wameichoka
 
Wanavopiga kelele kama peponi huko ukifika kumbe shida tupu watu wenyewe hadi nchi yao wenyewe wameichoka
Serikali yenyu sarakasi,
wananchi wenu pimbi,
Nchi yenyu shamba la bibi,
Kejof ni kiazi!
 
Serikali yenyu sarakasi,
wananchi wenu pimbi,
Nchi yenyu shamba la bibi,
Kejof ni kiazi!
Wakenya madada umbea kipaumbele cha maisha yenu fateni wanaume walipo mvalishwe shela mmechoka na maisha ya kwenu mmekuja kutafuta mabwana kwa lazima huku ila jueni tu hatuwahitaji hata kama mna force na kujipendekeza sie sio hao wazungu wenu mliozoea kuwalamba miguu tutawafanya zaid ya wanachowafanya huko mombasa
 
The outdoor square, one of the many event spaces being prepared for you. Memorable experiences coming soon. ‪#‎FinalLap‬ ‪#‎TimelesslyDifferent‬

See progress made between Jan and May!



Hosting Centum's results release last week in our first event with public invites!
Beyond awed by how it all came together.
We'll be hosting you soon ‪#‎TimelesslyDifferent‬

The inside's pretty much done!

Keep posted as we begin to showcase which of your favorite brands have made us their home [URL='https://www.facebook.com/hashtag/timelesslydifferent?source=feed_text&story_id=1059539954121284']‪#‎TimelesslyDifferent‬



[/URL]
 
Shopping Centre in Nairobi - Rosslyn Riviera Mall

hii mall inajengwa in between two rivers and village market...... I checked juzi along limuru road, two rivers is approx 6.2 km from village market...


there apears to be an over supply of malls in Nairobi because of too many shoppers...... Centum and britam are now advicing investors to now shift there mall investments to towns like nakuru, Kericho, Naivasha, laikipia,

the real estate investors in nairobi should now shift focus to industry related investments like warehousing, office space, light industries in order to create a supply chain to the mall bussiness Britam managers say too many malls have been put up in Nairobi
 
Hahaa ukichoka kale githeri ulale siez toka home niende mall kununua unga au mchele wakati magetoni nina magunia kibao najisevia mwenyewe tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
WaTz mna gere sana ,nyie hata middle class hamna wa kufanya shopping,Kenya ya sasa imejazwa na middle class ndo maana malls ni everywhere
 
Wabongo kwa kujipa moyo baada ya kupitwa ingekuwa hzo zipo TZ ungesikia HAPA KAZI TU!
kama umepitwa umepitwa tu ata muendelee kufanya maigizo vipi mtapitwa tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Aisee
acheni kupiga kelele hivyo vitu tunavyokitambo sana sema sisi hatupigagi makelele wewe ndo inajengwa sisi tunayo tayari na ndio mall kubwa kuliko zote afrika masharika ipo mwanza Tanzania inaitwa rockcity mall
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…