Bro povu kibao weka nguvu zako usije ukadundwa na mkeo mwanaume sio vizuri kwenda kulialia kwenye kibaraza cha kidume mwenzio kila siku kama huna kwenuYaani wabongo ni longolongo na bongolala tu!!
Kumbe huko kwenu waliooa ni wale wasio wasomikejof2 mie bado msomi sina mke,nina kipusa hivyo basi ujana ndo wangu sasa hivi.....
Bongo kazi yenu hiyo tu-vibarazani- hamna cha muhimu cha kufanya.Bro povu kibao weka nguvu zako usije ukadundwa na mkeo mwanaume sio vizuri kwenda kulialia kwenye kibaraza cha kidume mwenzio kila siku kama huna kwenu
Ungekua na cha muhimu cha kufanya ungeibuka hapa? Au mliletewa kadi ya mualiko? Au ndo hulka zenu za kike na umbea zikawaleta humuBongo kazi yenu hiyo tu-vibarazani- hamna cha muhimu cha kufanya.
Ungekua na cha muhimu cha kufanya ungeibuka hapa? Au mliletewa kadi ya mualiko? Au ndo hulka zenu za kike na umbea zikawaleta humu
Ungekua na cha muhimu cha kufanya ungeibuka hapa? Au mliletewa kadi ya mualiko? Au ndo hulka zenu za kike na umbea zikawaleta humu
Bado mpo wengine au ndo walewale bas kama wewe mpya tulishakwambia humu ni nyumba kubwa na upande huu ni wakufugia kuku na bata so huwezi mzuia mwenye nyumba kwenda atakapo ndani ya nyumba yake kama umechoka kua bata humu rudi porini ukawe huru huko ulipotokea nyie bana kimbelembele kwenye anga za wenzenu mtakuja kufanywa kama wale anaowazuia makondabro ulijishugulisha kusoma mada ya hichi kitengo ama ndicho mlitengeneza kufanya udaku humu Kenya news and politics saa we ndo sijui kazi yako hapa ipi
Bongo kazi yenu hiyo tu-vibarazani- hamna cha muhimu cha kufanya.
wacha feelings brathe.Bongo kazi yenu hiyo tu-vibarazani- hamna cha muhimu cha kufanya.
wacha feelings brathe.
hahaaaaa dah...nmecheka hadi bac, nini hiii!!Bado mpo wengine au ndo walewale bas kama wewe mpya tulishakwambia humu ni nyumba kubwa na upande huu ni wakufugia kuku na bata so huwezi mzuia mwenye nyumba kwenda atakapo ndani ya nyumba yake kama umechoka kua bata humu rudi porini ukawe huru huko ulipotokea nyie bana kimbelembele kwenye anga za wenzenu mtakuja kufanywa kama wale anaowazuia makonda
Talii zaidi ukute hadi za 200yaani hii two rivers imemanage kufika 19 threads, ehh, kweli ni kubwa hii mall
Tupatie sifa zaidi babaaa tunahitaji watalii zaidiTalii zaidi ukute hadi za 200
Nyie wenyewe tayari watalii huku nyie pigeni vuvuzela huku mnajileta hatuhitaji matangazoTupatie sifa zaidi babaaa tunahitaji watalii zaidi
Unasema nini babaa?Nyie wenyewe tayari watalii huku nyie pigeni vuvuzela huku mnajileta hatuhitaji matangazo
Haha..yaani hii two rivers imemanage kufika 19 threads, ehh, kweli ni kubwa hii mall
Fulu suti zimeshika baridi vuta gundi ulaleUnasema nini babaa?