Sammuel999
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 3,481
- 2,347
Show me where kenyans have declared their interest in Tanzanian land !!Waaaooo.... Outstanding..... So why do you want Tanzanian land? You kenyans u always give statistics about ur economy but you dnt give abt level of poverty and the gap btn poor and rich..... The rank is too biased because it considers GDP, lets use welfare economics to rank on ur economy level.....
tuusan nyamaza tu usianze area hautaweza Tafadhali!Tz kuna mabillionaire wawili Kenya hamna ata mmoja hii nayo ni heshima ... mda mwingne tuheshimiane .....tusichukukiane poa
Tz kuna mabillionaire wawili Kenya hamna ata mmoja hii nayo ni heshima ... mda mwingne tuheshimiane .....tusichukukiane poa
Wewe unafurahia mabillionaire wawili Wakati majority wenu ni hohehahe?Tz kuna mabillionaire wawili Kenya hamna ata mmoja hii nayo ni heshima ... mda mwingne tuheshimiane .....tusichukukiane poa
Majority kwenu matajiri haha mtu hata kukaa kwake hana hilo wazo endeleeni kuwaneemesha mabwana zenuWewe unafurahia mabillionaire wawili Wakati majority wenu ni hohehahe?
Mmeelewa nilichosema lakini au mnamafua?? Do you have any BILLIONAIRE? Jibu ni hamna sasa sijazungumzia issue u MILKIONAIRES eleweni topic sihitaji mapovu na makamasi
Sasa kila siku mnavyolilia Tz akubali kuungana kwenye mambo yenu ya ajabu hatutaki shobo naona huko hamtosheki mnaendeleza shobo hadi hukuShow me where kenyans have declared their interest in Tanzanian land !!
Somali land and south sudanes maybe! But tanzanian i nees proof
Mnao sasa? Au wewe ni millionaire??? Usikute hata pesa ya mboga inasumbua alafu unapiga kelele kama kengeHuyu ni dimbidi kweli
Hatuna utani na wapenda matako ya wanyama hangaikeni huko mje huku kujifarijiAmerudi ...mtani wetu wa dhati!!
Have a house in Nakuru premier sub ub...Mnao sasa? Au wewe ni millionaire??? Usikute hata pesa ya mboga inasumbua alafu unapiga kelele kama kenge
That is good for you buddy...Have a house in Nakuru premier sub ub...
Nina 23acres in Nakuru
Nina a massey furgeson tractor
A pick up and a saloon car
Am self employed na part time kwa sacco -2jobs
An MBA
na am just 34 what about you?
That is good for you buddy...
34years Ile kwa izo assets it sound interesting .....
Uko ngapi mkuu???Oh!...ππ.I thought we were age mates!...aaargh!...dissapointed!
28 jomba !Uko ngapi mkuu???
Makeyboard warriors wa huko alosto tu mwanaume wa kenya anaejielewa hanaga tabia za kimama kuzunguka kwenye ma forums ya majirani kunusa umbea wengi mahopeless tu ndo mana hadi huo mda wa umbea unaupataHave a house in Nakuru premier sub ub...
Nina 23acres in Nakuru
Nina a massey furgeson tractor
A pick up and a saloon car
Am self employed na part time kwa sacco -2jobs
An MBA
na am just 34 what about you?
Hawa wa kuwaonea huruma tu nimeishi kule hawa wapiga porojo wa humu njaa tuMnao sasa? Au wewe ni millionaire??? Usikute hata pesa ya mboga inasumbua alafu unapiga kelele kama kenge
Jamaa sammuel999 anamali zake tamu tu nadhani sio mtu wa mchezo mchezo anyway kwa age yake me nimefrahi no matter amerithi au katafuta mwenyeweHawa wa kuwaonea huruma tu nimeishi kule hawa wapiga porojo wa humu njaa tu
Haha that is just around the same area hehehe28 jomba !