nyangau mkenya
JF-Expert Member
- Mar 26, 2015
- 1,056
- 1,296
Haha that is just around the same area hehehe
Babu kubwa majengo hayo but we tz we are behind you.latest updates🙂🙂
.
.
You talk a lot yet the number of dollar millionaires in Mombasa alone is greater than the number of dollar millionaires in the whole of Tz.Tz kuna mabillionaire wawili Kenya hamna ata mmoja hii nayo ni heshima ... mda mwingne tuheshimiane .....tusichukukiane poa
From which source buddy ....You talk a lot yet the number of dollar millionaires in Mombasa alone is greater than the number of dollar millionaires in the whole of Tz.
Do you know the numbers?From which source buddy ....
have you across every party of tz ???such a nastic
Hhhhhhhhh....do you know which century we are in.Tz mints millionaires faster than Kenya ....
Kuna watu wanaweka fedha ardhini hawapeleki bank ni vigumu kujua idadi
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
I know but that is very personal I can't Stand to defend why they do that you know. ..I'm just telling you what is going on .....Hhhhhhhhh....do you know which century we are in.
Peace out bro. Mambo yako kando.I know but that is very personal I can't Stand to defend why they do that you know. ..I'm just telling you what is going on .....
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]what is it mambo yako kando my men..what did you mean?Peace out bro. Mambo yako kando.
I meant,lets put this aside. Squabbling doesn't help.[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]what is it mambo yako kando my men..what did you mean?
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Back to the point ...I meant,lets put this aside. Squabbling doesn't help.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]what is it mambo yako kando my men..what did you mean?
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
This above is a big fat CCM lieTz mints millionaires faster than Kenya ....
Kuna watu wanaweka fedha ardhini hawapeleki bank ni vigumu kujua idadi
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Babu kubwa majengo hayo but we tz we are behind you.
Ukiongea na watu ambao hawajatoka nje ya 18 yao utaona wanavyo fikiri. Vijengo kidogo hapa na nape basi ndio washatoboa. Wakati sehemu nyingine haya ni mambo ya kawaida tena hata hawayafikirii. Japan, south korea, Scandinavia, hata Australia wananchi wanaishi maisha ya kawaida sana bila maringo wala nini. Leo hii mtu anakuambia wana ma-dollar millionaire wengi, wakati wanasahahu poor million's wanaongezeka kila siku. Watz tunafikiriaga tofauti sana na wengine ndio maana hawatakuja kutuelewa.Jamani kuwa na Malls kubwa 3 hata 10 lisiwe jambo la kulinganisha nchi. swali ni kubwa hizo Malls zimemlenga mlaji gani (mnunuzi gani?). Unasema juu ya Malls nenda Manilla huko kuna the Mall of Asia kubwa kabisa blocks nyingi tu lakini unaona ukweli wa maisha huko? Nisiongee kinachotokea huko? Niseme tu kwa nini watu wengi maelfu katika nchi wakimbilie kujificha kwenye madawa ya kulevya wakati mji wenyewe tu wa Manilla umejaa Billboards za matangazo ya kibiashara hadi kuitwa the Worlds Billboards Capital????? Ule uchumi wao wa Billboards na Malls kubwa kwa nini usiifae jamii iondokane hata na madawa ya kulevya? Nyerere alikataa hayo "Matembo Meupe" ikiwa yalikuwa hayana maslahi kwa mtu wa chini katika jamii." Nairobi kuna Slums ngapi? wanasema Slum kubwa Afrika ipo humo? Kwa nini wananchi wajisifie majengo makubwa ambayo hayasaidii kuwapa watu wengi fursa ya kuishi vizuri? Tujenge hayo majengo tukipenda lakini hiyo isiwe sababu ya kujilinganisha na jamii zingine. Nenda Helsinki (Finland) majengo marefu ni machache humo lakini maendeleo yao ni makubwa tu. Nenda New York majengo marefu yamejaa sana sehemu fulani lakini ukienda sehemu nyingine ya Jiji (ama metropole) hasa maeneo kadhaa ya jirani ya Harlem na Brooklyn kuna umaskini mkubwa sana, Maghettoe yamejaa!. Unasema majengo? Yamejaa Hong Kong lakini utaniambia hayo ni maisha ya kujisifia. Unadhani wao wanapenda kukaa maghorofani. Hawana ardhi ya kutosha! Hawajisifu kwamba kwao wana majengo marefu! Sisi tu huku hiyo ni sifa!. Miaka thelathini iliyopita Wamerakani walikuja na dhana ya kuhamia na kuishi katika miji midogo na kukimbia usumbufu wa miji mikubwa sijui hiyo imefikia wapi kwa sasa! Umewahi kujiuliza kwa nini watalii mjini Zanzibar wanapenda kula Forodhani na kuyaacha mahoteli yao makubwa wanakolala wasile huko? Mimi nadhani ungejisifia masoko yetu haya kama Masai Market pale Nairobi? Gikomba siyo mbaya na lile lilioko mjini karibu na kituo cha Machakos! Hizo Malls mpya na zile zilizopo siku nyingi kama West Gate na East Gate sio wote wanaokwenda huko. Sio ya wengi hayo!