Haha boya jipe moyo sijawah gusa kitu chenu chochote humu kuanzia mchele unga na nafaka karibia zote natumia zinatoka tz kitu cha mchele wa ifakara siez tumia mchele wenu wa kiboya kama wa msaada kipindi cha njaa maboya wenu kila ukiletwa wanalialia wanaomba na wao wapatiwe
Zim
Zingekua na ishu hizo bongo wawekezaji wangeshakimbilia huko hizo chache tu zilizopo watu hawana mzuka kivile ndo mana wenye hela wanakimbilia kuwekeza kwingine na si huko bongo Malls hazilipi mana watu mahitaji karibia mengi wanapata tu karibu na majumbani kwao mtu labda anaenda mall kuosha macho tu tofauti na Kenya ndo mana maduka mengi ya huko kwenu na sauz wakija huku wakijionea wanakimbia
Hivi Hamchoki kujiaibisha kila wakati
Rock City blah blah blah
Nenda soma ama tembea Kenya
Rock City mall
Mwanza. Mwanza readies itself to become a mega city with the opening of Rock City Shopping Mall, the biggest shopping complex in Tanzania and one of largest in East Africa.
The $40 million five story ultra-modern shopping complex with over 32,000 square meters in Kirumba Street will act as the gateway to the Lake Region.
Clerk of work, engineer Zuberi Magazini says that the construction of the complex is in its final stage and tenants are streaming in for strategic spaces.
Garden City mall Kenya 52,000m²
The investment by Actis, which says it has set aside Sh36.4 billion ($364.5 million) to spend on projects in East Africa within the next 11 months— will deepen its stake in the region’s real estate sector.
Actis has significant shareholding in the Nairobi Business Park, which houses the Junction Shopping Centre along Ngong Road and Tanzania’s Capital Properties.
Senior Actis partner Paul Fletcher told the Business Daily in an interview that the private equity firm is focusing on investments in real estate, energy, consumer and financial service sectors.
Take that cheap mall of yours back to the drawing board
Sehem ya kwenda kutolea stress baada ya kupigwa na joto la fulusuti la mabati bora mtatupunguzia msongamano humuGarden City mall View attachment 344824
Soo wat?
Eeh bana tuwekeeni sie wageni tuje kuwabembelezea madem zenu mana wamechoka kugongewa kwenye mabati na kulishwa githeri na mapombe cheapKenyan based coffee houses View attachment 344826 View attachment 344827 View attachment 344828
Nairobi Java House
Java House (formerly Nairobi Java House) is a chain of coffee houses with its head office at ABC Place in Nairobi, Kenya,[1] founded in 1999. It is one of the few places where one can find "export-quality" Kenyan coffee brewed and served in the region. [2] The chain is known for its variety of Kenyan coffees and teas, home baked bread, Mexican cuisine, and free wireless Internet access. [3][4]
Locations
Starting from the first cafe at Adam's Arcade along Ngong Road opened in 1999, Java House has grown to 39 locations as at April, 2016. 31 of these are in Nairobi:
ABC Place
Adams Arcade (the first branch)
Capital Centre, Mombasa Road
Clyde House, Kimathi Street
Embassy House
Galleria Shopping Mall, Langata/ Magadi Road junction
Garden City Mall, Thika Superhighway Exit 7
Gigiri, Limuru Road
Greenspan Mall, Donholm;
Hurlingham, Argwings Kodhek Road
Jomo Kenyatta International Airport Gate 14
Jomo Kenyatta International Airport Terminal 1 B
Jomo Kenyatta International Airport Outside Terminal 2 (Express Branch)
Junction Mall, Ngong Road;
Karen
Kileleshwa
Kenya Medical Association building, Mara Road
Lunga Lunga Plaza, Lunga Lunga Road
Mama Ngina Street
Orbit Place, Westlands Road
Phoenix House, Standard Street
Sarit Centre, Parklands Road
South C, Popo Road, Mugoya
St Ellis House, City Hall Way (Express Branch)
Thika Road Mall, Thika Superhighway Exit 9
Uniafric House, Koinange Street
Upper Hill Medical Centre, Ralph Bunche Road
Valley Arcade, Gitanga Road
Waiyaki Way opposite Safaricom HQ
Westlands Square, Ring Road Parklands
Yaya Centre
Mombasa has a branch at Nyali Centre while the Nakuru branch is at Westside Mall on the Nakuru - Nairobi Highway. The Naivasha branch is at Buffalo Mall on the Moi South Lake Road and the Kisumu Branch is at West End Mall.
There are four branches in Kampala, Uganda: in the CBD at Grand Imperial on Nile Avenue, at Acacia Place on Acacia Avenue, at Village Mall, Bugolobi and at the Shell Service Station on the Lugogo By-Pass opposite Lugogo Mall.
Sehem ya kwenda kutolea stress baada ya kupigwa na joto la fulusuti la mabati bora mtatupunguzia msongamano humu
Haha... Have you ever been to a mall. Ati vitu viwili.... Haha.Hata ingekua bigger zaidi ya Kenya sie na mall ni vitu vi 2 tofaut humo labda wangefugia bata tu
Leta na viwanja vingine asee kesho nimpeleke Njeri
Eeh bana tuwekeeni sie wageni tuje kuwabembelezea madem zenu mana wamechoka kugongewa kwenye mabati na kulishwa githeri na mapombe cheap
Soo wat?
Yes bro i have been there huko ndo napataga those loose kenyan chicks tena pale junction mall nikizamaga na kiswahili changu cha bongo najibebea tu hao dada zenuHaha... Have you ever been to a mall. Ati vitu viwili.... Haha.
Its a mysterySo rockcity is just another joke.
Woi.... Don't you have self respect?Yes bro i have been there huko ndo napataga those loose kenyan chicks tena pale junction mall nikizamaga na kiswahili changu cha bongo najibebea tu hao dada zenu
Kwa mkenya noo i gues chapa ilale na njaa zaoWoi.... Don't you have self respect?
??Kwa mkenya noo i gues chapa ilale na njaa zao
Nielekeze tena na malls nyingine nikawakamate vizuri
In which county?Nielekeze tena na malls nyingine nikawakamate vizuri
these guys have no idea of the scale they use to measure
they confused meters with feet and thought "largest" 😀😀
Na urefu pia toka sealevelThis people are a problem!!!!
Wana measure buildings na number of floors pia!!!