Halafu anatoka mpuuzi mmoja anasema wazungu hawapendi mizigo waafrika tu ndio tunahangaika nayo kipengele hk wakubali tu tumwapiga bao kuna mitoto hku uswahilini hyo minaj wenu afanye upasuaji mara 100 haingii!Bora sie wa Africa tuna maumbo ya asili hatuhitagi kuwa botched ka ni hips la asili au mswabanda tunao, pole yao jinsi hzo operation zilivo yataka moyo. Wabantu oyeeeee
si yeye huyo mkuu watu wawili tofauti.
Kama hujui unaweza ukapanic kwa shape yako kumbe wao zao ni man madeHawa mastaa hawa, wanafanya surgery afu wanajifanya mara mazoezi mara green tea kumbe wanatukausha uzazi tu
Umemsahau Kyle JennerK Mitchell - Makalio ila ameshayatoa
Remy Ma - Boobs
Cardi B
Nickie Baby - Boobs &Butty
Hazel E
Lyrica Anderson
Erica Mena
Wako wengi sana mastaa wa nje walobadili shape. Wakipata hela tu cha kwanza kuongeza makalio na kuweka kiuno nyigu wanamalizia maziwa na pua
Msambwanda wa asili una raha yake na siyo hayo mashape fakeBora sie wa Africa tuna maumbo ya asili hatuhitagi kuwa botched ka ni hips la asili au mswabanda tunao, pole yao jinsi hzo operation zilivo yataka moyo. Wabantu oyeeeee
Waongo wakubwa Hao na waige kwa kufanya mazoezi ukomae vigimbiHawa mastaa hawa, wanafanya surgery afu wanajifanya mara mazoezi mara green tea kumbe wanatukausha uzazi tu
Alitoka na Eminem kipindi fulani hiviDuuuh...Eminem tena?
Nick anapenda vichaa[emoji23]
Kiuno nyigu kama chako vileK Mitchell - Makalio ila ameshayatoa
Remy Ma - Boobs
Cardi B
Nickie Baby - Boobs &Butty
Hazel E
Lyrica Anderson
Erica Mena
Wako wengi sana mastaa wa nje walobadili shape. Wakipata hela tu cha kwanza kuongeza makalio na kuweka kiuno nyigu wanamalizia maziwa na pua
Niringe.. kitambi kama choteeKiuno nyigu kama chako vile
Na chura kama yoteNiringe.. kitambi kama chotee
Hahahahahaa.. chura mtoto labdaNa chura kama yote