GE2025 Mastaa Nchini walaani kitendo cha polisi kuwapiga wafuasi wa CHADEMA

GE2025 Mastaa Nchini walaani kitendo cha polisi kuwapiga wafuasi wa CHADEMA

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Watu mbalimbali mashuhuri nchini Tanzania wamelaani kitendo cha Jeshi la Polisi kuwapiga kwa virungu baadhi ya wafuasi wa CHADEMA ambao waligoma kuondoka katika nje ya Mahakama Kuu jijini Dar es Salaam, baada ya kuambiwa ukumbi umejaa.
1757942598928.png


1757942667652.png


1757942858677.png


1757942936684.png


 
Tumekaribia nchi ya ahadi tulikua hatujampata Mussa wetu wakutosogeza now TAL ametusogeza kwa vitendo
 
Tunaomba namba za simu anauani za askari waliokuwa vinara wa kuwapiga wafuasi wa chadema pale mahakamani leo
 
Halafu watu wakitukana matusi mazito mitandaoni mnawalaumu.

Kwa hizi picha, yule dada ataendelea tu kutukana.
 
Sasa hii ndio inaleta justification ya kutumia mawe siku ikifika.There will be no thinking twice.Ikitokea maelf wapo barabarani nitakuwa mmoja wapo mwenye jiwe mikononi
 
Inamaana ndio askari.alishindwa kutumia tu akili ndogo.tu...
 
Back
Top Bottom