GE2025 Mastaa Nchini walaani kitendo cha polisi kuwapiga wafuasi wa CHADEMA

GE2025 Mastaa Nchini walaani kitendo cha polisi kuwapiga wafuasi wa CHADEMA

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Watu mbalimbali mashuhuri nchini Tanzania wamelaani kitendo cha Jeshi la Polisi kuwapiga kwa virungu baadhi ya wafuasi wa CHADEMA ambao waligoma kuondoka katika nje ya Mahakama Kuu jijini Dar es Salaam, baada ya kuambiwa ukumbi umejaa.
1000227957.jpg
 
Wanabonyeza vitufe kama wewe huku wamejificha ndani ya blanket
 
Kuna zile mbwa zinazo nusa nusa na kubweka kila zinapoona rangi za kijani huwezi kusikia zinasema chochote lakini zikifiwa na watu wao zinataka zipewe pole.

Dhihaka huzaa dhihaka, kadiri wanavyowadhihaki wengine na wao wawe tayari kupokea dhihaka (hata kwa kukaa kimya wakati ungeongea chochote ungeweza ku push agenda ni dhihaka)
 
Back
Top Bottom