Mastaa ndani ya JF

Mastaa ndani ya JF

we jamaa big up naona wengine hawataki kukubaliana na ukweli mwingine anapanik et hakuna staa humu,mwingine anamuhusisha mpaka Mungu humu.kama we we sio staa hata kwa demu wako tulia tu.no matter where ua kwenye wengi lazima kunakua na wale watu mashuhuri,hata humu JF kuna mastaa wake bhana ambao ukisema tu kila MTU anamjua kama kina joseverest nk take it easy pipo [emoji23]
ha ha ha mkuu
 
Wanasiasa wengi humu wako verified japo wana id nyingine lakini wanamuziki na waigizaji wengi wako kwa id ambazo haziko verified.
Nadhani wanaogopa vibano kutoka kwa wana jf maana watu wakikuamulia humu lazima uisome.
Uishi milele jf
 
Tundu Lissu, Mnyika, Mwigulu Nchemba, Bashite, Kitila Mkumbo, Zitto Kabwe wote hao ni mastaa na wamo Jf wapo wengine wana akaunti feki wanachungulia tu na kuondoka mfano Diva wa ala za roho huwa analalamikiwa kucopy baadhi ya post huku na kuzitumia kwenye kipindi chake mnadhani anaonaje bila kuingia huku kwa siri?

Kwenye hiyo list kuna mastaa na mastafeli
 
lol si kwa majibu haya😀😀 nipo hapa star Cajojo ze Jojo
 
Hahahahahaha! Nimejikuta nacheka kwa sauti kwa baadhi ya coment za wachangiaji duuuu! Kweli Jfm kiboko ya watu.
 
Back
Top Bottom