Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ni hisia sometimes ie kuna mdada mmoja wa Bongo movie sijui anaitwa nani
kuna siku alikuwa anahojiwa akalia it was very emotional
Nashangazwa sana na hii kitu, mastaa wa kike wanapofanyiwa interview kwenye TV lazima kuna kasehemu wadondoshe chozi, hivi ni hisia au ndo kujifanyisha!
Ni Kajala Masanja
hapana sio yeye sijui anaitwa nani yule dada ana ka mwanya fulani hivi

hii niliiona ni kweli ilikuwa story ya kuhuzunisha....ni yule aliyeteseka na mamake baada ya kunyang'anywa nyumba yao mara tu baada ya baba yake kufariki.

Hata Kajala alilia siku alipohojiwa na yule sijui nani Mketema wa Cloudz TV.
welu sengo