Mastaa wa Kike Wanapoojiwa ni Lazima Walie?

kiface

Senior Member
Joined
Jan 23, 2014
Posts
151
Reaction score
61
Nashangazwa sana na hii kitu, mastaa wa kike wanapofanyiwa interview kwenye TV lazima kuna kasehemu wadondoshe chozi, hivi ni hisia au ndo kujifanyisha!
 
ni hisia sometimes ie kuna mdada mmoja wa Bongo movie sijui anaitwa nani

kuna siku alikuwa anahojiwa akalia it was very emotional
 
Nashangazwa sana na hii kitu, mastaa wa kike wanapofanyiwa interview kwenye TV lazima kuna kasehemu wadondoshe chozi, hivi ni hisia au ndo kujifanyisha!

Sema tu umemtarget Kajala
 
Sio kajala peke yake ni wengi ambao nimewaona
 
hapana sio yeye sijui anaitwa nani yule dada ana ka mwanya fulani hivi

hii niliiona ni kweli ilikuwa story ya kuhuzunisha....ni yule aliyeteseka na mamake baada ya kunyang'anywa nyumba yao mara tu baada ya baba yake kufariki.
 
yes huyu huyu........ nilihuzunika sana may be kwavile stori yake inaendana na maisha yangu somehow
 
Nashangazwa sana na hii kitu, mastaa wa kike wanapofanyiwa interview kwenye TV lazima kuna kasehemu wadondoshe chozi, hivi ni hisia au ndo kujifanyisha!

Hivyo vilio vya kwenye tv ni feki vilio vya kweli wanatoaga kitaNdani
 
Back
Top Bottom