Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
Kwa hiyo sasa wasanii bado wanavuta au wameacha mkuu?Bangi inaandamwa sana, kuna waheshimiwa wengi tu wanaivuta, tatizo linakuja pale uhuni/utovu wa maadili wa mtu binafsi unapohusishwa na kuvuta bangi, hii si sawa. Zamani muziki ulionekeana ni uhuni kwa sababu kuna wahuni waliokuwa wananfanya muziki, ila baadae ikaonekena ni ajira.
Bangi ipo toka zamani, hawajaangamia wakina mandojo na domo kaya, wakina Suma lee, wahangamie hawa ambao hela haikauki na bangi kama sigara kwao..Master anasema ukweli 100%. Serikali isipochukua hatua, kizazi cha vijana kitaangamia ktk taifa hili.
Wapo wanaovuta pia wapo wasiovutaKwa hiyo sasa wasanii bado wanavuta au wameacha mkuu?
Itakuwa ndo jamaa kamsahau pale kumtaja , anaitwa Daz baba , mzee wa mrembo namba nane, anakaa segerea kuleDaz Baba Kaisha hadi huruma jamani.
Tuwasaidie hawa vijana wataisha kwa unga, Master J hataniii.
Wamekuwa kama wazee madawa na bangi sio nzuri ...Huyo Dullayo kabaki kichwa tu.Wako na hali gani mkuu? Ndio maana sober houses zinazidi kuongezeka ktk nchi hii.
Kuna siku nilidamka kwenda Muhimbili nikakutana na kijiji kizima cha mateja wanaenda kupigwa sindano za kuondoa bangi mwilini. Nilishangaa sana. Siku zote bangi inaonekana kuwa ni kitu kibaya kwanini sasa wasanii wanalazimisha kula bangi? Haya masanii yana akili ndogo sana.
Hili haliwezekani hadi Yesu atakaporudi. Polisi ni zaidi ya mbwa. Kuna rafiki yangu mmoja polisi kipindi naishi Kinondoni siku akiishiwa hela utamuona anapita kwa wauza bangi na cocaine akikusanya hela halafu anawaachia waendelee kuwaharibu vijana.Wajikite zaidi kwenye kudhibiti upatikanaji.
Polisi wanajua bangi zinapouzwa hata zinapolimwa, vijiwe vya bangi mtaani vinajulikana wazi lakini hawachukui hatua yoyote maana na wao wanafaidika.
Nilikuwa sijakupata mkuu. Kumbe wewe unashabikia bangi? Itakuwa wewe ama ni msanii au ni muuzaji wa bangi. sio bure!Bangi ipo toka zamani, hawajaangamia wakina mandojo na domo kaya, wakina Suma lee, wahangamie hawa ambao hela haikauki na bangi kama sigara kwao..
Mnataka sholo mwamba avute Sports au zile za mia winston sijui. Acheni hizo. Bangi ni safi tu. Serikali iwafungulie tu milango ya kazi hawa vijana.
Joslin huyo
Kwa mtindo huo kudeal na wavuta bangi ni kupoteza mudaHili haliwezekani hadi Yesu atakaporudi. Polisi ni zaidi ya mbwa. Kuna rafiki yangu mmoja polisi kipindi naishi Kinondoni siku akiishiwa hela utamuona anapita kwa wauza bangi na cocaine akikusanya hela halafu anawaachia waendelee kuwaharibu vijana.