Master J: 99% ya wasanii wa bongo ni 'mateja'

wana sniff na kusmoke kwasababu ya stress za maisha(kunyonywa na mabosi zao),wanafanya kazi kubwa kimuziki alafu kipato kidogo.
Kweli kabisa. Kama kile kitendo alichofanya Zuchu kule Mbeya ni ishara ya uteja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…