Desire Dizaya
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,476
- 11,659
Upload tena hiyo attachment ili watu waioneAkiongea na Millard Ayo baba huyo wa mabinti watatu alitoa sababu kwanini hataki wajihusishe na mziki. "Unajua binti kupitia kwenye mziki hadi aje kufanikiwa lazima apitie mengi. Mimi naongea hivi sababu nina uzoefu wa miaka mingi kwenye industry so mabinti huwa wanatumika sana hadi watoke"
Aidha kuna baadhi ya mashabiki walokua wakimponda kutoka katika mitandao tofauti wakidai Master J alichezea sana mabinti waliokuwa wakija kwake kama producer na sasa anaogopa mabinti zake kufanyiwa aloyafanya.
Ajiandae tu kisaikolojia.. Hamna namna mla huliwa!huyu hapa akiwa na mabinti zake wawili wakubwa mapacha na mdogo wa mwisho.View attachment 402910
kama namuona vile..akiwaangalia wanae na urembo huo anakosa amani...yani kama anaona kabisa vile watavyogombaniwa na wavaa milegezoutachofanyia wenzako,ndicho utachofanyiwa.
labda akatubu kabisa mbele ya hadhira ya watu.
Ajiandae tu kisaikolojia.. Hamna namna mla huliwa!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] naskia kawatafuna wengi sana studio kwakeKuna jamaa alikuwa anantania ati wanaume "wahuni" mungu huwa anawajaalia watoto wa kike tupu ili kupitia kwao huyo mwanaume na aonje chungu!
shaa ni mmama wa zaidi ya miaka 30 so kashayapitia haya na huwez kumrubuni kwa ngono ili upige wimbo wake...ila hawa ni vigoli ndo kwanza chuchu zimesimama..wataharibika wakiingia huko na kuna magonjwa kemkemaache roho mbaya mbona amshauri Shaa aache Muziki?!
Heheheheheheh mwambie uchungu wa marehem mzee wake alie taman awe Eng yeye akaenda kwa mziki na yeye lazima umpate...... HeheheheAkiongea na Millard Ayo baba huyo wa mabinti watatu alitoa sababu kwanini hataki wajihusishe na mziki. "Unajua binti kupitia kwenye mziki hadi aje kufanikiwa lazima apitie mengi. Mimi naongea hivi sababu nina uzoefu wa miaka mingi kwenye industry so mabinti huwa wanatumika sana hadi watoke"
Aidha kuna baadhi ya mashabiki walokua wakimponda kutoka katika mitandao tofauti wakidai Master J alichezea sana mabinti waliokuwa wakija kwake kama producer na sasa anaogopa mabinti zake kufanyiwa aloyafanya.
Hii kitu hua inanitatiza sana aiseee.....mmmh..dogo janja tenaa
mtu alojaa vumbi awatafune kirahisi hawa watoto wa masaki ambao hakuna wanachokosa kwao