Desire Dizaya
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,476
- 11,659
Akiongea na Millard Ayo baba huyo wa mabinti watatu alitoa sababu kwanini hataki wajihusishe na mziki. "Unajua binti kupitia kwenye mziki hadi aje kufanikiwa lazima apitie mengi. Mimi naongea hivi sababu nina uzoefu wa miaka mingi kwenye industry so mabinti huwa wanatumika sana hadi watoke"
Aidha kuna baadhi ya mashabiki walokua wakimponda kutoka katika mitandao tofauti wakidai Master J alichezea sana mabinti waliokuwa wakija kwake kama producer na sasa anaogopa mabinti zake kufanyiwa aloyafanya.