Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
alioa na ndoa ikafa!Kumbe ana watoto!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
alioa na ndoa ikafa!Kumbe ana watoto!!
mkewe alozaa nae hao watoto waliachana..kaoa mwingineMbona majuzi kaoa tena?au ni mke wa pill?
akiongea na maillard ayo baba huyo wa mabinti watatu
alitoa sababu kwanini hataki wajihusishe na mziki
"unajua binti kupitia kwenye mziki hadi aje kufanikiwa lazima apitie mengi.mimi naongea hivi sababu nina uzoefu wa miaka mingi kwenye industry so mabinti huwa wanatumika sana hadi watoke"
aidha kuna baadhi ya mashabiki walokua wakimponda kutoka katika mitandao tofauti wakidai masterj alichezea sana mabinti waliokuwa wakija kwake kama producer na sasa anaogopa mabinti zake kufanyiwa aloyafanya.
master j akiwa na mabinti zake[emoji116] [emoji116]
mmmh..dogo janja tenaa
mtu alojaa vumbi awatafune kirahisi hawa watoto wa masaki ambao hakuna wanachokosa kwao
Kwanini wameachana??? Na kaoa nani??mkewe alozaa nae hao watoto waliachana..kaoa mwingine
Wivu wetu wanaume wa kijinga. Hata ukiwakataza utawaoa wewe? Ni vyema kuwapa stadi za maisha akitaka kuigawa kama njugu lwake.tehe tehe tehe tehe na mabinti zake walivyo warembo
Muosha huoshwa
aache roho mbaya mbona amshauri Shaa aache Muziki?!
Dah hujui kitu hakuna watoto pacha hapohuyu hapa akiwa na mabinti zake wawili wakubwa mapacha na mdogo wa mwisho.View attachment 402910
pole nlikosea mwaya..kila mmoja kivyake ila walikua wananitatiza hawa wakubwaDah hujui kitu hakuna watoto pacha hapo