Master J awakataza mabinti zake kujihusisha na muziki

Master J awakataza mabinti zake kujihusisha na muziki

akiongea na maillard ayo baba huyo wa mabinti watatu
alitoa sababu kwanini hataki wajihusishe na mziki
"unajua binti kupitia kwenye mziki hadi aje kufanikiwa lazima apitie mengi.mimi naongea hivi sababu nina uzoefu wa miaka mingi kwenye industry so mabinti huwa wanatumika sana hadi watoke"

aidha kuna baadhi ya mashabiki walokua wakimponda kutoka katika mitandao tofauti wakidai masterj alichezea sana mabinti waliokuwa wakija kwake kama producer na sasa anaogopa mabinti zake kufanyiwa aloyafanya.

master j akiwa na mabinti zake[emoji116] [emoji116]

 
Dhambi ya uliyowatendea binadamu wenzako tena ukijua ni makusudi huwa inakutokea wewe kizazi chako cha kwanza hadi za nne. Hataepuka kikombe hiki.
 
aache roho mbaya mbona amshauri Shaa aache Muziki?!

Ndo ushangae.. Shaa kampata huko kwenye muziki cha ajabu hataki wanae wawe wanamuziki. Hivi anafikiri Prof Kaisi anafurahia anachomfanyia mtoto wake? Yeye wa kwake wanamuuma sasa sijui kina Shaa wao baba zao hawaumii. Selfish
 
Back
Top Bottom