supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,952
Mbona Shaa akuharibika mpaka alipokutana naey yeye?!shaa ni mmama wa zaidi ya miaka 30 so kashayapitia haya na huwez kumrubuni kwa ngono ili upige wimbo wake...ila hawa ni vigoli ndo kwanza chuchu zimesimama..wataharibika wakiingia huko na kuna magonjwa kemkem
lakini pia shaa sio mrembo ka hao mweeh...(kiding)shaa ni mmama wa zaidi ya miaka 30 so kashayapitia haya na huwez kumrubuni kwa ngono ili upige wimbo wake...ila hawa ni vigoli ndo kwanza chuchu zimesimama..wataharibika wakiingia huko na kuna magonjwa kemkem
hapo sasa but hajachelewa...wangekua wadada wakubwa ndo angepata tabu but akikaa chini na kuongea nao kama mzazi kama wasikivu watamuelewa..ila watoto wa siku hizi[emoji134]Baba alitaka awe Eng yeye akaenda kwa mziki..... Je ataweza kufanikiwa kwa watoto wake wasiwe wanamuziki? Sina uwakika nadhani kama alivyo muacha baba mdomo waz baada yakugunduwa mtoto hasomei kile aliuahidi na yeye lazima auonje...
Kuna mademu wengine wamekaa kwa kutafunwatafunwa, hivi unawezaje kubaki studio na demu kama Snura na usimgonge, si dhambi wa Mungu?hivi dem ka raha p unamwachaje enzi zile labda sista p na zay b unaweza kuchuna ukawaacha
hata mj mwenyewe mchaga wa rombo...naongelea wa manzese na masaki..tafuteni saizi yenu mtakuja kuuliwa bureHii kitu hua inanitatiza sana aiseee.....
Inamaana sisi wa ushirombo hatuna haki ya kumega huko Mikocheni na Masaki...[emoji15] [emoji15]
shaa na mj walikutana kipindi kile cha mashindano ya kuimba ya cocacola sijui yalikua yanafanyika south africa ndo wakatoka tatu bora na wakina witness wakawa chini ya mj.shaa alikua mdogo tu na akawa mshkaj wa nguvu wa mj..walipofikia had hapa wanajua wenyeweMbona Shaa akuharibika mpaka alipokutana naey yeye?!
Achana na mapenzi wewe hujawahi kuona fala kama mimi namiliki mtoto mkali wakati ni apeche alolo ?mmmh..dogo janja tenaa
mtu alojaa vumbi awatafune kirahisi hawa watoto wa masaki ambao hakuna wanachokosa kwao
Dah halafu Raha P nasikia kalost huko Houston sijui ni kweli ?hivi dem ka raha p unamwachaje enzi zile labda sista p na zay b unaweza kuchuna ukawaacha
[emoji23] [emoji23] inategemea na mzazi..wengine wakiona wanatoka na mvuta bange hana mzuka wa kutafuta maisha wala nini hawakuangalii hivihivi..Achana na mapenzi wewe hujawahi kuona fala kama mimi namiliki mtoto mkali wakati ni apeche alolo ?
Basi sawa...[emoji25] [emoji25]hata mj mwenyewe mchaga wa rombo...naongelea wa manzese na masaki..tafuteni saizi yenu mtakuja kuuliwa bure
Mamba kilimpata nini mkuu?Huku kwetu Pwani tunasema KILICHOMPATA MAMBA NA BOKO KITAMPATA