Master J awakataza mabinti zake kujihusisha na muziki

Master J awakataza mabinti zake kujihusisha na muziki

shaa ni mmama wa zaidi ya miaka 30 so kashayapitia haya na huwez kumrubuni kwa ngono ili upige wimbo wake...ila hawa ni vigoli ndo kwanza chuchu zimesimama..wataharibika wakiingia huko na kuna magonjwa kemkem
Mbona Shaa akuharibika mpaka alipokutana naey yeye?!
 
Baba alitaka awe Eng yeye akaenda kwa mziki..... Je ataweza kufanikiwa kwa watoto wake wasiwe wanamuziki? Sina uwakika nadhani kama alivyo muacha baba mdomo waz baada yakugunduwa mtoto hasomei kile aliuahidi na yeye lazima auonje...
hapo sasa but hajachelewa...wangekua wadada wakubwa ndo angepata tabu but akikaa chini na kuongea nao kama mzazi kama wasikivu watamuelewa..ila watoto wa siku hizi[emoji134]
 
Hii kitu hua inanitatiza sana aiseee.....
Inamaana sisi wa ushirombo hatuna haki ya kumega huko Mikocheni na Masaki...[emoji15] [emoji15]
hata mj mwenyewe mchaga wa rombo...naongelea wa manzese na masaki..tafuteni saizi yenu mtakuja kuuliwa bure
 
Mbona Shaa akuharibika mpaka alipokutana naey yeye?!
shaa na mj walikutana kipindi kile cha mashindano ya kuimba ya cocacola sijui yalikua yanafanyika south africa ndo wakatoka tatu bora na wakina witness wakawa chini ya mj.shaa alikua mdogo tu na akawa mshkaj wa nguvu wa mj..walipofikia had hapa wanajua wenyewe
 
Achana na mapenzi wewe hujawahi kuona fala kama mimi namiliki mtoto mkali wakati ni apeche alolo ?
[emoji23] [emoji23] inategemea na mzazi..wengine wakiona wanatoka na mvuta bange hana mzuka wa kutafuta maisha wala nini hawakuangalii hivihivi..
 
Back
Top Bottom