Mustaphagentleman
JF-Expert Member
- Jun 22, 2016
- 3,953
- 3,022
Watoto wa kike usiwatabirie aisee unaweza kukuta house boy ndo atawatoa Bikra ohooommmh..dogo janja tenaa
mtu alojaa vumbi awatafune kirahisi hawa watoto wa masaki ambao hakuna wanachokosa kwao
mmmh..dogo janja tenaa
mtu alojaa vumbi awatafune kirahisi hawa watoto wa masaki ambao hakuna wanachokosa kwao
zipo nyingi tu..ndani ya hekalu masaki kuna houseboy,dereva wa kuwaendesha wanapotaka kwenda,gateman,shuleni pia zipo nyingi.[emoji23] [emoji23] kwani wanayo walio nje pekee?Kwao anapata dhakari?
Kwa hiyo Janjaro ananuka vumbi kuliko houseboy wa MJ?zipo nyingi tu..ndani ya hekalu masaki kuna houseboy,dereva wa kuwaendesha wanapotaka kwenda,gateman,shuleni pia zipo nyingi.[emoji23] [emoji23] kwani wanayo walio nje pekee?
souljah himselfff!! mtafute studio kwake akupe hiyo kazi[emoji4] [emoji4]nipo tayari kuwa sponsor na kuwa manage hao mabinti zake awaache tu waingie kwa music industry nitawalinda
Aggyjay unakosea, masaki wanapata fedha, chakula, malazi mazuri lakini mpenzi wa roho yako aweza toka umakondeni mtwarammmh..dogo janja tenaa
mtu alojaa vumbi awatafune kirahisi hawa watoto wa masaki ambao hakuna wanachokosa kwao
najua but INATEGEMEAAggyjay unakosea, masaki wanapata fedha, chakula, malazi mazuri lakini mpenzi wa roho yako aweza toka umakondeni mtwara
yap...huyo alosimama nae karibu ndo mkubwa zaidi..anatarajia kujiunga chuo kikuu..kakuzaKumbe ana watoto!!
Watoto wazuri mpaka rahahuyu hapa akiwa na mabinti zake wawili wakubwa mapacha na mdogo wa mwisho.View attachment 402910
Duh haya!!yap...huyo alosimama nae karibu ndo mkubwa zaidi..anatarajia kujiunga chuo kikuu..kakuza
halafu wanawe vyomboo!!huyu hapa akiwa na mabinti zake wawili wakubwa mapacha na mdogo wa mwisho.View attachment 402910
au yalompata kibe na ungo nayo yatampata!Huku kwetu Pwani tunasema KILICHOMPATA MAMBA NA BOKO KITAMPATA
Ukitaka kula lazima ULIWEHuku kwetu Pwani tunasema KILICHOMPATA MAMBA NA BOKO KITAMPATA
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Utamuua Master J kwa pressure aiseeee......[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kuna kipindi hua anapitapita humu