Master J awakataza mabinti zake kujihusisha na muziki

Master J awakataza mabinti zake kujihusisha na muziki

Kwao anapata dhakari?
zipo nyingi tu..ndani ya hekalu masaki kuna houseboy,dereva wa kuwaendesha wanapotaka kwenda,gateman,shuleni pia zipo nyingi.[emoji23] [emoji23] kwani wanayo walio nje pekee?
 
zipo nyingi tu..ndani ya hekalu masaki kuna houseboy,dereva wa kuwaendesha wanapotaka kwenda,gateman,shuleni pia zipo nyingi.[emoji23] [emoji23] kwani wanayo walio nje pekee?
Kwa hiyo Janjaro ananuka vumbi kuliko houseboy wa MJ?
 
mmmh..dogo janja tenaa
mtu alojaa vumbi awatafune kirahisi hawa watoto wa masaki ambao hakuna wanachokosa kwao
Aggyjay unakosea, masaki wanapata fedha, chakula, malazi mazuri lakini mpenzi wa roho yako aweza toka umakondeni mtwara
 
Utamuua Master J kwa pressure aiseeee......[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kuna kipindi hua anapitapita humu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

wataliwa tu!
 
Back
Top Bottom