Master J awakataza mabinti zake kujihusisha na muziki


 
tehe tehe tehe tehe na mabinti zake walivyo warembo
Wivu wetu wanaume wa kijinga. Hata ukiwakataza utawaoa wewe? Ni vyema kuwapa stadi za maisha akitaka kuigawa kama njugu lwake.
 
Dhambi ya uliyowatendea binadamu wenzako tena ukijua ni makusudi huwa inakutokea wewe kizazi chako cha kwanza hadi za nne. Hataepuka kikombe hiki.
 
Muosha huoshwa

Hahahaaa anajua ni nini alikua anawatendea watoto wa wenzie. Sasa hataki na wa kwake watendewe vile. Ila anasahau what goes round always comes around.
 
aache roho mbaya mbona amshauri Shaa aache Muziki?!

Ndo ushangae.. Shaa kampata huko kwenye muziki cha ajabu hataki wanae wawe wanamuziki. Hivi anafikiri Prof Kaisi anafurahia anachomfanyia mtoto wake? Yeye wa kwake wanamuuma sasa sijui kina Shaa wao baba zao hawaumii. Selfish
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…