Master minder wa Riz 1

Master minder wa Riz 1

ALIM0756.JPG


Maulid Kitenge, Dr Salama na Mr Albert Marwa
 
Wizara ya madini na nishati ndiko ambako biashara za Riz1 ziliko. Ana vitalu kadhaa vya utafiti wa dhahabu Musoma, maeneo ya Mrangi. Lakini pia Riz1 anashughulika na biashara ya mafuta. Sielewi ukaribu wa Kikwete/Riz1 na Muhongo lakini Riz1 yupo karibu sana na Masele. Na wengi wanasema Masele pamoja na kushindwa kwenye uchaguzi, Kikwete alinishinikiza atangazwe kuwa ameshinda, akatangazwa kuwa alishinda kwa kura 1.

Baadaye alimteua kuwa naibu waziri wa madini ili kulinda maslahi ya Riz1. This happened in 2010
 
Watu wanashindwa kuelewa kuwa simba trust ni kamapuni ya mzee kupitia watoto wake na wamepata 50% ya mgao wa singa from IPTL...! Ndo maana mpaka tunakufa hatutojua mgao from STANBIC BANK kwani ndipo mzigo ulipotolewa wa mzee.
kifupi mzee kamaindi sana anawalaumu usalama wa ikulu pamoja na lukuvi why hili jambo limefika huku ina maana mmeahindwa kulizuia..
Hii nchi kazi ipo watu tunalipwa TGSD 625000 take home 500700 but mzee anapiga pesa za kutosha..
Asnteni.
 
ALIM0756.JPG


Maulid Kitenge, Dr Salama na Mr Albert Marwa

Sawa pamoja na kutuwekea picha zao hapa rekebisha bandiko lako la kwanza. Albert Marwa siyo Mchaga, ni Mganda aliyeokotwa Vitani na wapiganaji wetu mwaka 1978/7. Jenerali Marwa akamchukua kama mwanae na ndipo huo ubini Marwa ulipopatikana..
 
Huwa najiuliza sana, hivi kwanini Albert Marwa naye kaingia kwenye huu ufisadi wa pesa za akaunti ya Escrow? Sielewi kabisa kwa kweli.
Yeye anaingiza pesa nyingi sana kwa biashara anayofanya na Majeshi ya Tanzania, ni pesa zinazomfanya atoe zawadi ya magari kwa viongozi wa dini awapendao.
Ni biashara zinazompa pesa nyingi hadi kuamua kugawa bure vifaa vya kilichokuwa kituo chake cha redio baada ya kunyang'anywa frequency na Bakwata.
Ni vifaa vya mamilioni ambavyo sasa vinatumika kuendesha radio station moja ya Z'bar bila kuongezea kifaa kingine chochote.
Ni biashara inayompa pesa nyingi hadi kutengeneza studio ofisi za kituo cha TV zilizokamilika na kubaki kuruhusu tu kurusha matangazo kisha kuitelekeza pale Kinondoni kwa zaidi ya mwaka sasa.
Lakini bado aye anakwenda kuiba pesa za umma wakati anachuma pesa nyingi kupitia majeshi yetu! Kweli kabisa bado nashangaa sana
 
Huwa najiuliza sana, hivi kwanini Albert Marwa naye kaingia kwenye huu ufisadi wa pesa za akaunti ya Escrow? Sielewi kabisa kwa kweli.
Yeye anaingiza pesa nyingi sana kwa biashara anayofanya na Majeshi ya Tanzania, ni pesa zinazomfanya atoe zawadi ya magari kwa viongozi wa dini awapendao.
Ni biashara zinazompa pesa nyingi hadi kuamua kugawa bure vifaa vya kilichokuwa kituo chake cha redio baada ya kunyang'anywa frequency na Bakwata.
Ni vifaa vya mamilioni ambavyo sasa vinatumika kuendesha radio station moja ya Z'bar bila kuongezea kifaa kingine chochote.
Ni biashara inayompa pesa nyingi hadi kutengeneza studio ofisi za kituo cha TV zilizokamilika na kubaki kuruhusu tu kurusha matangazo kisha kuitelekeza pale Kinondoni kwa zaidi ya mwaka sasa.
Lakini bado aye anakwenda kuiba pesa za umma wakati anachuma pesa nyingi kupitia majeshi yetu! Kweli kabisa bado nashangaa sana
Funguka funguka kamanda.
 
Iyo picha alokupa embu muulize vizuri usije ukaja shitakiwa kwa kuleta picha za watu ambao hata hawausiki.....uyo sio Salama usikurupuke
Ali-google, kapotea maboya aka-select hio picha thinking ndio Mr & Mrs A. Marwa🙄
 
RAIS Jakaya Kikwete anapaswa kuwajibika binafsi katika kashfa ya ukwapuaji wa mabilioni ya shilingi katika Akaunti ya Tegeta Escrow. Saed Kubenea anaandika…(endelea)

Mjumbe wa Kamati Kuu (CC) ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mabere Marando amesema, Rais Kikwete, ndiye aliyeruhusu kiasi cha Sh. 321 bilioni kuchotwa katika mazingira yaliyosheheni udanganyifu.

“Fedha zile zimechukuliwa kwa maelekezo ya Rais Kikwete ili kumuwezesha chama chake kufanikishe kampeni za uchaguzi mkuu wa mwaka huu,” ameeleza Marando.

Hata hivyo, Marando anasema, “Tumeambiwa na watu waliokaribu na chama hicho, kuwa ni sehemu ndogo sana ya fedha iliyoibwa zilizofikishwa CCM. Nyingi ya fedha hizo zimechukuliwa na familia ya rais mwenyewe.”

Taarifa zinasema, familia ya Rais Kikwete imepata zaidi ya Sh. 9 bilioni, kutoka katika mgawo wa fedha zilizohifadhiwa katika akaunti ya Escrow.

“Kikwete anajua kila kitu. Yule singasinga – Harbinder Singh Sethi – alitokea Ikulu. Mpango wa uchotaji wa fedha za umma ulipangwa Ikulu na ulitekelezwa kwa maelekezo ya rais,” ameeleza.

Taarifa zinasema, anayejiita na kuitwa na serikali kuwa ni “mmiliki mpya wa IPTL/PAP,” Harbinder Singh Sethi, alichotewa fedha hizo baada ya kufikishwa Ikulu na baadaye akakutanishwa na gavana wa BoT, Prof. Benno Ndullu; na kutoka hapo alikwenda kukwapua mabilioni hayo ya shilingi hata bila kumfahamisha James Rugemalira – mbia mwenzake.

Sakata la ukwapuaji wa fedha katika akaunti ya Escrow ndilo lililomtupa nje ya ofisi, aliyekuwa waziri wa nishati, Prof. Sospeter Muhongo.

Taarifa zinasema, Prof. Muhongo, ni miongoni mwa wanaotajwa kunufaika na fedha za Escrow zilizopitia benki ya Stanbic. Mwingine ambaye jina lake lilitajwa bungeni na mmoja wa wabunge wa upinzani, ni Albert Marwa.

Marando anasema, “Pamoja na kujiuzulu kwa Prof. Muhongo, bado haitoshi bila kuhojiwa au kuwajibishwa kwa gavana Ndullu, Waziri wa Fedha, Saada Mkuya, Katibu Mkuu wizara ya Fedha, Dk. Servacius Likwalile na maofisa wa ikulu na hata rais mwenyewe ambaye ndiye aliyeruhusu fedha hizo kutolewa.”

Akiongea kwa kujiamini, Marando anasema, “Wizi huu ulianzia Ikulu na umefanyika kwa baraka za Ikulu na mbele ya macho ya rais. Umewashirikisha baadhi ya maofisa wake na hata familia yake.”

Dk. Likwalile ndiye aliyewasilisha kwa gavana wa BoT kwa ajili ya utekelezaji, maagizo ya Rais Kikwete kuwa fedha katika akaunti ya Escrow zilipwe kwa PAP.

Alikuwa akirejea maagizo kutoka kwa Rais Kikwete kwa kunukuu barua ya tarehe 13 Novemba 2013, ambayo ilisainiwa na Katibu wa Rais, Bw. Prosper Mbena.

Pata habari kamili yenye mahojiano na Marando, Jumatano wiki hii.
 
Dogo wa kichagga alimchanganya binti wa kikwere pale muhas hadi mzee akawa mdogo
Huyo uliye naye pia aliku/ulimchanganya ndio mapenzi yalivyo..
Mbona mnapenda kuzungumzia vitu vya kipuuzi hivi? Au ndio wale wanaume wa......
 
Back
Top Bottom