Werrason
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 12,325
- 38,203
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]K tu mwanangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]K tu mwanangu
![]()
Maulid Kitenge, Dr Salama na Mr Albert Marwa
Funguka funguka kamanda.Huwa najiuliza sana, hivi kwanini Albert Marwa naye kaingia kwenye huu ufisadi wa pesa za akaunti ya Escrow? Sielewi kabisa kwa kweli.
Yeye anaingiza pesa nyingi sana kwa biashara anayofanya na Majeshi ya Tanzania, ni pesa zinazomfanya atoe zawadi ya magari kwa viongozi wa dini awapendao.
Ni biashara zinazompa pesa nyingi hadi kuamua kugawa bure vifaa vya kilichokuwa kituo chake cha redio baada ya kunyang'anywa frequency na Bakwata.
Ni vifaa vya mamilioni ambavyo sasa vinatumika kuendesha radio station moja ya Z'bar bila kuongezea kifaa kingine chochote.
Ni biashara inayompa pesa nyingi hadi kutengeneza studio ofisi za kituo cha TV zilizokamilika na kubaki kuruhusu tu kurusha matangazo kisha kuitelekeza pale Kinondoni kwa zaidi ya mwaka sasa.
Lakini bado aye anakwenda kuiba pesa za umma wakati anachuma pesa nyingi kupitia majeshi yetu! Kweli kabisa bado nashangaa sana
Ali-google, kapotea maboya aka-select hio picha thinking ndio Mr & Mrs A. Marwa🙄Iyo picha alokupa embu muulize vizuri usije ukaja shitakiwa kwa kuleta picha za watu ambao hata hawausiki.....uyo sio Salama usikurupuke
Post #1 hukuona kuwa ni ya kipumbavu?Acha allegation za kipumbavu
Huyo uliye naye pia aliku/ulimchanganya ndio mapenzi yalivyo..Dogo wa kichagga alimchanganya binti wa kikwere pale muhas hadi mzee akawa mdogo
kwa zama hizi mpendwa hiyo methali naona inapwaya,uzushi umekua ndio afya ya baadhi ya watu.Lisemwalo lipo kama halipo linakuja.
Mbona huyu jamaa ni Mkuria wa Kiagata kule KukianchaHis name is Albert Marwa
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Huyu dada itakuwa kachanganywa na mkuyenge hamna jingine.