Master of Project Management (OUT)

Master of Project Management (OUT)

mtamanyali

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2011
Posts
1,161
Reaction score
613
wadau habarini za asubuhi natumai mpo salama na mnaendelea vizuri na weekend hii ndefu. Baada ya kumaliza degree yangu ya kwanza miaka mitatu iliyopita nimefikiria kuongeza degree ya pili ya Project management chuo kikuu huria Tanzania naomba wadau mnipe ABC za kozi hii hususani changamoto zake na orpotunities zake. Na je Tanzania tunaichukuliaje hii taaluma ya project management. Naomba kuwasilisha.
 
Tafuta hela kwanza kusoma itasoma tu, kuhusu ajira si utajifunza kutengeneza project. Sasa uajiriwe itakuwa na maana wkt uko na skills za kuwa na project yako bwana
 
Tafuta hela kwanza kusoma itasoma tu, kuhusu ajira si utajifunza kutengeneza project. Sasa uajiriwe itakuwa na maana wkt uko na skills za kuwa na project yako bwana

nimekupata mkuu, shukrani.
 
Back
Top Bottom