mtamanyali
JF-Expert Member
- Dec 6, 2011
- 1,161
- 613
wadau habarini za asubuhi natumai mpo salama na mnaendelea vizuri na weekend hii ndefu. Baada ya kumaliza degree yangu ya kwanza miaka mitatu iliyopita nimefikiria kuongeza degree ya pili ya Project management chuo kikuu huria Tanzania naomba wadau mnipe ABC za kozi hii hususani changamoto zake na orpotunities zake. Na je Tanzania tunaichukuliaje hii taaluma ya project management. Naomba kuwasilisha.