Thank you for your thoughtful analysis of the article! Indeed, it was crafted to emphasize moral uprightness and meaningful discourse rather than allowing the forum to descend into triviality. Your insights align well with the intended message.Good article! It calls for moral uprightness and discussion at the forum should gear on that rather than being pervasive in nature.
The author, I dare say isn't a woman, likely a roman Catholic priest, or Anglican or the like! Nevertheless, Congratulations for the reminder!
(Simple Englishπ) π ππHiv hizo level za masters na kuendelea mbona kuna kuwa na matumiz ya lugha ngumu (misamiati migumu sana ) lengo ni uelewa au ni kukomoana asee
Kwanini matumizi ya simple English lg yasitumike ,
Unaletew swali katik kiingereza kigumu kuelew swali tuu ni shida kujibu itakuwaje
Nmeulza based to huko vyuon lugha ngumu wanazotumia kufunza na kuulzia maswali,(Simple Englishπ) π ππ
I see your concern! The aim is not to make it difficult but to have deep discussions. I agree that simple language helps everyone join in. If anything in the question was unclear, let me knowβIβm happy to explain!
Kwanza asante kwa kusoma! Sasa mimi nitawezaje kunukuu vifungu vya Quran wakati sivijui. Nimenukuu vya Biblia kwa sababu ndio mwongozo wangu mkubwa wa jinsi ya kuishi katika maadili mema duniani. Wewe unamiliki kitabu gani, ututajie vifungu vinavyofaa kutuongoza katika mijadala yenye Afya.Maana naona vifungu vya bibilia ilipaswa pia uhusianishe na maandiko pia ya Quran!
Duh, kazi ipo. Na kuitafsiri kwa Kiswahili hii mada nafikiri itakuwa kazi ngumu sana. Hii ndiyo shida iliyoletwa na wale watu waliokuwa wanajenga mnara wa babeli eti wakitaka mnara ufike mbinguni. π Wakati huo dunia ilikuwa na lugha moja tu. Hakukuwa na shida ya mawasiliano. Mungu akachukia uasi wao akawatawanya kwa kuwapa lugha tofauti tofauti. Umewahi kusoma kisa hicho katika Biblia?sisi darasa la saba B tusubiri mada yetu?
ndio nimesoma, Mungu akatuma malaika wachafue lugha na kuwatawanya watu duniani kote, ndio mwanzo wa kuwa na watu wa kila rangi na kila kughaDuh, kazi ipo. Na kuitafsiri kwa Kiswahili hii mada nafikiri itakuwa kazi ngumu sana. Hii ndiyo shida iliyoletwa na wale watu waliokuwa wanajenga mnara wa babeli eti wakitaka mnara ufike mbinguni. π Wakati huo dunia ilikuwa na lugha moja tu. Hakukuwa na shida ya mawasiliano. Mungu akachukia uasi wao akawatawanya kwa kuwapa lugha tofauti tofauti. Umewahi kusoma kisa hicho katika Biblia?