Masters and PhD holders, mpoo? Karibuni tujadili mada hii

Masters and PhD holders, mpoo? Karibuni tujadili mada hii

Hiv hizo level za masters na kuendelea mbona kuna kuwa na matumiz ya lugha ngumu (misamiati migumu sana ) lengo ni uelewa au ni kukomoana asee

Kwanini matumizi ya simple English lg yasitumike ,

Unaletew swali katik kiingereza kigumu kuelew swali tuu ni shida kujibu itakuwaje
 
Good article! It calls for moral uprightness and discussion at the forum should gear on that rather than being pervasive in nature.

The author, I dare say isn't a woman, likely a roman Catholic priest, or Anglican or the like! Nevertheless, Congratulations for the reminder!
Thank you for your thoughtful analysis of the article! Indeed, it was crafted to emphasize moral uprightness and meaningful discourse rather than allowing the forum to descend into triviality. Your insights align well with the intended message.

As for the author's identity—an interesting speculation! But does it take a Roman Catholic priest or an Anglican to champion such a discussion? Perhaps the real question is: Do we all recognize the weight of the issues raised, regardless of who voices them? Looking forward to your further reflections!
 
Prof PLO Lumumba angekuwa hai mgeelewana vizuri mimi nimetoka kapa
 
That's a good point—you've addressed a limited audience of high educated individuals for a discussion that doesn’t necessarily require advance degrees

My contribution is that even those of us with certificates can also participate in this discussion
 
Hiv hizo level za masters na kuendelea mbona kuna kuwa na matumiz ya lugha ngumu (misamiati migumu sana ) lengo ni uelewa au ni kukomoana asee

Kwanini matumizi ya simple English lg yasitumike ,

Unaletew swali katik kiingereza kigumu kuelew swali tuu ni shida kujibu itakuwaje
(Simple English👇) 🙂 🙂🙂
I see your concern! The aim is not to make it difficult but to have deep discussions. I agree that simple language helps everyone join in. If anything in the question was unclear, let me know—I’m happy to explain!
 
Nmeulza based to huko vyuon lugha ngumu wanazotumia kufunza na kuulzia maswali,
 
Nmeulza based to huko vyuon lugha ngumu wanazotumia kufunza na kuulzia maswali,
OK. Nimekupata.
Maoni yako ni yapi sasa kuhusiana na mada yenyewe. Eleza hata kwa Kiswahili
 
Karibuni kuchukua fomu za veta
Mwaka wa masomo unaanza iv karibuni
English itasaidia sana kujua majina ya zile mashine
 
Maneno ya hekima Sana, lakini kwa sisi ambao hatumiliki bibilia sidhani kama tutajikita dhahiri katika dhima iliyokusudiwa, umezungumza uhuru wa kuwasilisha mawazo na kuepuka kutumia mawazo yawe chanzo cha migogoro, hiyo ni busara lakini je jarida lako huoni kama linagusa kwa ukristo pekee? Maana naona vifungu vya bibilia ilipaswa pia uhusianishe na maandiko pia ya Quran! Hongeraa saaa a mwana zuoni
 
Maana naona vifungu vya bibilia ilipaswa pia uhusianishe na maandiko pia ya Quran!
Kwanza asante kwa kusoma! Sasa mimi nitawezaje kunukuu vifungu vya Quran wakati sivijui. Nimenukuu vya Biblia kwa sababu ndio mwongozo wangu mkubwa wa jinsi ya kuishi katika maadili mema duniani. Wewe unamiliki kitabu gani, ututajie vifungu vinavyofaa kutuongoza katika mijadala yenye Afya.
 
sisi darasa la saba B tusubiri mada yetu?
Duh, kazi ipo. Na kuitafsiri kwa Kiswahili hii mada nafikiri itakuwa kazi ngumu sana. Hii ndiyo shida iliyoletwa na wale watu waliokuwa wanajenga mnara wa babeli eti wakitaka mnara ufike mbinguni. 🙂 Wakati huo dunia ilikuwa na lugha moja tu. Hakukuwa na shida ya mawasiliano. Mungu akachukia uasi wao akawatawanya kwa kuwapa lugha tofauti tofauti. Umewahi kusoma kisa hicho katika Biblia?
 
ndio nimesoma, Mungu akatuma malaika wachafue lugha na kuwatawanya watu duniani kote, ndio mwanzo wa kuwa na watu wa kila rangi na kila kugha
 
ndio nimesoma, Mungu akatuma malaika wachafue lugha na kuwatawanya watu duniani kote, ndio mwanzo wa kuwa na watu wa kila rangi na kila kugha
Sawa kabisa.
Hii mada hujaelewa kabisa hata neno moja?
 
Jamiiforums is the open platform where every member contribution is positively acknowledged.

Criticism will always be there when a topic of debate does allow different views.Respect or wisdom will be determined by how you(people) respond based on a topic of discussion.Giving incorrect/false responses or assumptions which can't be validated will attract disrespect and there will be no way for people to be wise.

To avoid them, everyone should organise their stuff in a precise manner to avoid ambiguities
 
Back
Top Bottom