lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,475
- Thread starter
-
- #61
Mimi ni kama chombo Cha habari TU,nimeleta kwenu wadau muuchambue.Huo umeukubali 🤣 🤣 🤣 🤣
I
Mtumishi wa kike wa USA mwanadada Cerestrial anakuja na utabiri wake wa kiroho ambao unajirudiarudia kua Mungu amekua akimuonesha kua taifa la Marekani linaenda kupigwa vibaya sana na na Urusi ikishirikia a na china na kuanguka mazima.
Mtabiri huyo mwana dada Mmarekani mweusi anasema ameoneshwa na Mungu kua Urusi akishirikiana na china wataipiga Marekani kwa mapigo ya kushitukiza kutokea baharini,angani na nchi kavu.
Mtabiri huyo anaendelea kusema kua Mifumo ya ulinzi dhidi ya makombora ya Marekani haitaweza kufanya kazi kabisa dhidi ya mashambulio hayo ambayo yatafanywa bila hata Urusi na china kuichokozwa,wala taarifa au onyo.
Mashambulizi hayo yatalenga kwa ukamulifu kabisa na kupiga shabaha katika maeneo muhimu sana ya kijeshi ya Marekani yaliyokusudiwa kupigwa kiasi jeshi la Marekani halitakua na uwezo wa kujitetea na Kupelekea majeshi hayo kuangukia mikononi mwa majeshi ya Urusi.
Mtabiri anasisistiza kua majeshi ya Urusi yatavinjari ndani ya ardhi ya USA kibabe sana.
Matabiri alieoneshwa na Mungu hakuishia hapo Bali anasema kipigo atakachokua akipewa USA hata washirika wake wa ulaya watashuhudia Kwa macho Yao lakini hawatakua na uwezo wa kumsaidia Marekani,hawataweza kumsaidia kwa sababu uwezo huo hawatakua nao.
Mtabiri anaongeza kua Dunia nzima itashubudia mashambulizi hayo ya kibabe sana atakayokua anapewa USA.
Mtumishi wa Mungu dada huyo wa kimarekani mwenye asili ya Afrika Cerestrial anasema kaoneshwa na Mungu kuhusu jambo hili sio mara moja wala mara mbili Bali mara nyingi kua Mungu mwenyewe ameamua Marekani ipigwa kwa kua imekua kitovu Cha dhambi na uonevu.
Anaendelea kusema kua mamlaka za Marekani wala hazijashituka kwani hawaoni kitisho chochote.
Anasema huo ndio utakavyokua mwisho wa Atlantis.
Atlantis inaenda kuanguka kama zilivyoangua Dola nyingine kama Rumi,egypt,etc.
Anasema kipigo hicho ni Cha kweli na kitatokea muda mfupi ujao sio miaka Bali ni wakati wowote kuanzia Leo.
Angalizo.:
Nimejaribu kutafasiri kwa kiswahili ingawa Mimi sio mtaalamu wa mambo ya lugha.
Mwanadada anapatikana tik tok live unaweza kumsikia na kumuona,
Ametqbiri mambo mengi TU ya kiroho na kijamii na yametokea,
Ametqbiri vifo vya Viongozi wa Dunia mqpinduzi,kupanda na kushuka kwa watu mashuhuri na imetokea,
Ametabiri maisha ya wanamuziki wa USA na nje ya USA kuhusu kupanda ama kushuka kwao na imetokea .
Na ametabiri Kila aina ya utabiri na vimetokea.
Naomba nisishambuliwe Mimi binafsi kwani Mimi nimeleta kama ninavyomfatiliaga.
Ukigoogle unaweza kumpata kwa jina la "Masters voice prophecy "
Kila nikijarubu kuweka video zake nashindwa,kama Kuna mtu anamfatilia na ana uwezo wa kuweka atuwekee,Sina vifaa wala utaalamu wa kuzipandisha.
View: https://vm.tiktok.com/ZMrhfjSr3/
Lakini mbona video nimeshaziweka?Hilo jina lake umeliandika kwa usahihi? Mtu aki google hilo jina tutapata taarifa zake?
Sawa Mkuu nimekusoma,majina ya watu haya.
nabii wako ni Mfalme zumaridi wa USASoma TU ndugu yangu,sio Mimi ninaetabiri,Bali ni Mmarekani,anasema ameoneshwa na Mungu.
Na anajulikana huko Marekani Kwa tabiri zake.
Hata yeye ni mjumbe TU wa Mungu.
Sasa sisi wasomaji ni Kila mtu na Imani yake.kama ni kweli ama si kweli atajibu yeye.
Sawa Kila mtu namapokeo yake .
Sawanabii wako ni Mfalme zumaridi wa USA
Chura haonekani, ila mchungaji mashalaPicha
IPO juu tayari
Mtumishi wa kike wa USA mwanadada Cerestrial anakuja na utabiri wake wa kiroho ambao unajirudiarudia kua Mungu amekua akimuonesha kua taifa la Marekani linaenda kupigwa vibaya sana na na Urusi ikishirikia a na china na kuanguka mazima.
Mtabiri huyo mwana dada Mmarekani mweusi anasema ameoneshwa na Mungu kua Urusi akishirikiana na china wataipiga Marekani kwa mapigo ya kushitukiza kutokea baharini,angani na nchi kavu.
Mtabiri huyo anaendelea kusema kua Mifumo ya ulinzi dhidi ya makombora ya Marekani haitaweza kufanya kazi kabisa dhidi ya mashambulio hayo ambayo yatafanywa bila hata Urusi na china kuichokozwa,wala taarifa au onyo.
Mashambulizi hayo yatalenga kwa ukamulifu kabisa na kupiga shabaha katika maeneo muhimu sana ya kijeshi ya Marekani yaliyokusudiwa kupigwa kiasi jeshi la Marekani halitakua na uwezo wa kujitetea na Kupelekea majeshi hayo kuangukia mikononi mwa majeshi ya Urusi.
Mtabiri anasisistiza kua majeshi ya Urusi yatavinjari ndani ya ardhi ya USA kibabe sana.
Matabiri alieoneshwa na Mungu hakuishia hapo Bali anasema kipigo atakachokua akipewa USA hata washirika wake wa ulaya watashuhudia Kwa macho Yao lakini hawatakua na uwezo wa kumsaidia Marekani,hawataweza kumsaidia kwa sababu uwezo huo hawatakua nao.
Mtabiri anaongeza kua Dunia nzima itashubudia mashambulizi hayo ya kibabe sana atakayokua anapewa USA.
Mtumishi wa Mungu dada huyo wa kimarekani mwenye asili ya Afrika Cerestrial anasema kaoneshwa na Mungu kuhusu jambo hili sio mara moja wala mara mbili Bali mara nyingi kua Mungu mwenyewe ameamua Marekani ipigwa kwa kua imekua kitovu Cha dhambi na uonevu.
Anaendelea kusema kua mamlaka za Marekani wala hazijashituka kwani hawaoni kitisho chochote.
Anasema huo ndio utakavyokua mwisho wa Atlantis.
Atlantis inaenda kuanguka kama zilivyoangua Dola nyingine kama Rumi,egypt,etc.
Anasema kipigo hicho ni Cha kweli na kitatokea muda mfupi ujao sio miaka Bali ni wakati wowote kuanzia Leo.
Angalizo.:
Nimejaribu kutafasiri kwa kiswahili ingawa Mimi sio mtaalamu wa mambo ya lugha.
Mwanadada anapatikana tik tok live unaweza kumsikia na kumuona,
Ametqbiri mambo mengi TU ya kiroho na kijamii na yametokea,
Ametqbiri vifo vya Viongozi wa Dunia mqpinduzi,kupanda na kushuka kwa watu mashuhuri na imetokea,
Ametabiri maisha ya wanamuziki wa USA na nje ya USA kuhusu kupanda ama kushuka kwao na imetokea .
Na ametabiri Kila aina ya utabiri na vimetokea.
Naomba nisishambuliwe Mimi binafsi kwani Mimi nimeleta kama ninavyomfatiliaga.
Ukigoogle unaweza kumpata kwa jina la "Masters voice prophecy "
Kila nikijarubu kuweka video zake nashindwa,kama Kuna mtu anamfatilia na ana uwezo wa kuweka atuwekee,Sina vifaa wala utaalamu wa kuzipandisha.
View: https://vm.tiktok.com/ZMrhfjSr3/
kuwa makini ukimwi unauaSijasoma mada ila nimesikitika sana
Hata huku Kuna Rais Mwanamke na yeye ameoneshwa na Mungu atuongoze Kwa miaka 20
Mbona anasoma sasa au ameandikiwa hiyo barua ... hizi logic za uongo ndio alitumia Mtume Mohamed hadi leo hajaeleweka kama aliambiwa na Jibreel asome kitabu ambacho hakikuwepo before au aliambiwa atamke maneno yaliyo kwenye Quran(recite) ambayo hakuwahi yasikia before na akawa mkaidi akisema hajui kusoma! enzi hizi hamna wajinga tena sasa mistake za watabiri zinaendelezwa kwa aina ya ujinga ujinga tu.. fake prophets hawa..