Baada ya kumaliza degree ya sheria ndo nmekumbuka ajira nimeichezea mwenyewe ngekuwa ngefungua kanisa na hii broken yangu ngekua nshatoboa 😂😂
Mtum
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtum
Picha za video zipo nyingi sana tik tok ila sema nashindwa kuzipandisha
Ana track record kama ya Baba Vanga au Nostradamus ?
Hao manguli wana rate kubwa sana ya utabiri wao kuwa sahihi , mfano huyo Baba Vanga mpaka aliyotabiri mwaka huu kuna ambayo yanatokea tayari
Mtumishi wa kike wa USA mwanadada Cerestrial anakuja na utabiri wake wa kiroho ambao unajirudiarudia kua Mungu amekua akimuonesha kua taifa la Marekani linaenda kupigwa vibaya sana na na Urusi ikishirikia a na china na kuanguka mazima.
Mtabiri huyo mwana dada Mmarekani mweusi anasema ameoneshwa na Mungu kua Urusi akishirikiana na china wataipiga Marekani kwa mapigo ya kushitukiza kutokea baharini,angani na nchi kavu.
Mtabiri huyo anaendelea kusema kua Mifumo ya ulinzi dhidi ya makombora ya Marekani haitaweza kufanya kazi kabisa dhidi ya mashambulio hayo ambayo yatafanywa bila hata Urusi na china kuichokozwa,wala taarifa au onyo.
Mashambulizi hayo yatalenga kwa ukamulifu kabisa na kupiga shabaha katika maeneo muhimu sana ya kijeshi ya Marekani yaliyokusudiwa kupigwa kiasi jeshi la Marekani halitakua na uwezo wa kujitetea na Kupelekea majeshi hayo kuangukia mikononi mwa majeshi ya Urusi.
Mtabiri anasisistiza kua majeshi ya Urusi yatavinjari ndani ya ardhi ya USA kibabe sana.
Matabiri alieoneshwa na Mungu hakuishia hapo Bali anasema kipigo atakachokua akipewa USA hata washirika wake wa ulaya watashuhudia Kwa macho Yao lakini hawatakua na uwezo wa kumsaidia Marekani,hawataweza kumsaidia kwa sababu uwezo huo hawatakua nao.
Mtabiri anaongeza kua Dunia nzima itashubudia mashambulizi hayo ya kibabe sana atakayokua anapewa USA.
Mtumishi wa Mungu dada huyo wa kimarekani mwenye asili ya Afrika Cerestrial anasema kaoneshwa na Mungu kuhusu jambo hili sio mara moja wala mara mbili Bali mara nyingi kua Mungu mwenyewe ameamua Marekani ipigwa kwa kua imekua kitovu Cha dhambi na uonevu.
Anaendelea kusema kua mamlaka za Marekani wala hazijashituka kwani hawaoni kitisho chochote.
Anasema huo ndio utakavyokua mwisho wa Atlantis.
Atlantis inaenda kuanguka kama zilivyoangua Dola nyingine kama Rumi,egypt,etc.
Anasema kipigo hicho ni Cha kweli na kitatokea muda mfupi ujao sio miaka Bali ni wakati wowote kuanzia Leo.
Angalizo.:
Nimejaribu kutafasiri kwa kiswahili ingawa Mimi sio mtaalamu wa mambo ya lugha.
Mwanadada anapatikana tik tok live unaweza kumsikia na kumuona,
Ametqbiri mambo mengi TU ya kiroho na kijamii na yametokea,
Ametqbiri vifo vya Viongozi wa Dunia mqpinduzi,kupanda na kushuka kwa watu mashuhuri na imetokea,
Ametabiri maisha ya wanamuziki wa USA na nje ya USA kuhusu kupanda ama kushuka kwao na imetokea .
Na ametabiri Kila aina ya utabiri na vimetokea.
Naomba nisishambuliwe Mimi binafsi kwani Mimi nimeleta kama ninavyomfatiliaga.
Ukigoogle unaweza kumpata kwa jina la "Masters voice prophecy "
Kila nikijarubu kuweka video zake nashindwa,kama Kuna mtu anamfatilia na ana uwezo wa kuweka atuwekee,Sina vifaa wala utaalamu wa kuzipandisha.
View: https://vm.tiktok.com/ZMrhfjSr3/
View: https://vm.tiktok.com/ZMrhbaw4G/
View: https://vm.tiktok.com/ZMrhbRC1C/
Hii sijui ilikua ya mwaka gani
Unajiona great thiiiiinker mwenyewe!Kuleta huku Video za TikTok ni kuikosea heshima Jamii forum
Hakuna John aliyetunga kitabu cha biblia wala aliyeandika kitabu cha John Tazama labda kama hicho kitabu kimo kwenye Quran.NI yule aliye tunga kitabu cha bibilia Apostle John, au humjui dogo 😄
Hahaha mnajidai aliandika Gospel of John, sio John haha mara hajulikani, sa vipi msome kitabu hamjui nani kakitunga hahaha, wakristo kweli kondoo lakini ukweli ni hu hapa, aliye andika ni huyo JohnHakuna John aliyetunga kitabu cha biblia wala aliyeandika kitabu cha John Tazama labda kama hicho kitabu kimo kwenye Quran.
Nadhani unamuita Muongo kwasababu tu utabiri wake unamfiti Muhammad kwa aslimia mia moja.Hawa sio ndio kama kina John na Paul waliandika miaka 70 kabla ya kuja Mtume Mohammad, na miaka 450 baada ya Yesu.
John aliandika kitabu kinachoitwa John tazama ( Anti-Christ ) kwenye kitabu chake.
Waarabu walitamani sana kujua mawazo hayo, ambapo John alidai nabii wao atarudi badala ya Yesu
Prophet Muhammad alikuja na akawa Mtume wa mwisho.
Kwa hivyo sasa walio yakusudia kuhusu dijjal ( Ant Christ) IlIonekana si kweli, na ili mkasirisha John, ambapo upande wa pili, Wayahudi walifurahi kwa sababu walipinga fikra hizo.
Wote warabu na wayahudi walimuuliza Mtume Muhammad kuhusu fikra hizo za John.
Mtume Muhammad alikuwa hajui chochote kuhusu mambo ya mbele isipokuwa kile ambacho Mwenyezi Mungu anamwambia.
Hakuna mahali popote katika Qur'an Mwenyezi Mungu alimtaja Dajjal (Anti Christ) Hiyo point ya John ilikuwa ni fikra ya kishetani tu.
Kama yule fake Muslim Bukhari na hadith zake kama kina Paulo na John ndio huyo alie dai kaonyeshwa na Mungu, eti Mrusi atampiga America, mbona hio inajulikana wazi lazima mmoja atamtandika mwenzake😄
Picha ya nini?! Mwanadada mtumishi akiwa anaota ndoto za mchana ama?
Hahaha huyo hata Mungu alimuita Muongo, alitabiri nini kuhusu Mtume Muhammad hakuwezi kumfahamu Yesu, akamfahamu Mtume Muhammad.Nadhani unamuita Muongo kwasababu tu utabiri wake unamfiti Muhammad kwa aslimia mia moja.
Let say ni muongo kama usemavyo,ila roho ya kuona mambo kabla hayajatokea anayo, tena kubwa.
Haiyamkiniki atabiri jambo miaka elfu 6 mbele litokee vile vile kama alivyosema.
Hahaha huyo hata Mungu alimuita Muongo, alitabiri nini kuhusu Mtume Muhammad hakuwezi kumfahamu Yesu, akamfahamu Mtume Muhammad.
Paulo alisema uwongo mwingi mimi, nikitoa mifano utakesha humu kusoma, mimi nakupa mmoja mfano:
Paulo alisema hivi kwenye wagalatia.
Wagalatia 2:21 Siibatili neema ya Mungu; kwa maana, ikiwa haki inaweza kupatikana kwa sheria, Kristo alikufa bure.
Lakini Mungu alisema hivi kwenye Ezekieli
Ezekieli 18:9 Yeye hufuata sheria zangu na kuzishika sheria zangu kwa uaminifu. Mtu huyo ni mwenye haki; hakika ataishi, asema BWANA Mwenyezi.
Paulo anamwita Mungu mwongo, kwa hiyo Paulo ni mwongo.
Mambo gani aliyotabiri yatatokea mwaka huu na yametokea mkuu?Ana track record kama ya Baba Vanga au Nostradamus ?
Hao manguli wana rate kubwa sana ya utabiri wao kuwa sahihi , mfano huyo Baba Vanga mpaka aliyotabiri mwaka huu kuna ambayo yanatokea tayari