Masters voice prophecy: Mtumishi wa Mungu wa kike wa USA ameoneshwa na Mungu kuwa USA itapingwa na Urusi

Ana track record kama ya Baba Vanga au Nostradamus ?
Hao manguli wana rate kubwa sana ya utabiri wao kuwa sahihi , mfano huyo Baba Vanga mpaka aliyotabiri mwaka huu kuna ambayo yanatokea tayari

What do you think of Baba Vanga's prediction 'Russia would become the lord of the world whereas Europe would become a wasteland. All will thaw, like if ice, only one stays undamaged Vladimirโ€™s majesty, the glory of Russia. No one can stop Russia'?
As a fellow Bulgarian to Vanga, I can tell that her predictions are starting to have a live of its own after her death. It is becoming a bit like Nostradamus. I have not heard of such prediction though, so it is suspicious it comes now. She is very popular in Russia, by the way, is this coincidence or not?
 

Mpuuzi tu huyo
 
NI yule aliye tunga kitabu cha bibilia Apostle John, au humjui dogo ๐Ÿ˜„
Hakuna John aliyetunga kitabu cha biblia wala aliyeandika kitabu cha John Tazama labda kama hicho kitabu kimo kwenye Quran.
 
Hakuna John aliyetunga kitabu cha biblia wala aliyeandika kitabu cha John Tazama labda kama hicho kitabu kimo kwenye Quran.
Hahaha mnajidai aliandika Gospel of John, sio John haha mara hajulikani, sa vipi msome kitabu hamjui nani kakitunga hahaha, wakristo kweli kondoo lakini ukweli ni hu hapa, aliye andika ni huyo John


John the Apostle is traditionally held to be the author of the Gospel of John, and many Christian denominations believe that he authored several other books of the New Testament (the three Johannine epistles and the Book of Revelation, together with the Gospel of John
 
Nadhani unamuita Muongo kwasababu tu utabiri wake unamfiti Muhammad kwa aslimia mia moja.
Let say ni muongo kama usemavyo,ila roho ya kuona mambo kabla hayajatokea anayo, tena kubwa.
Haiyamkiniki atabiri jambo miaka elfu 6 mbele litokee vile vile kama alivyosema.
 
Hata mimi nimeoneshwa ipo siku na wala si nyingi Tanzania kuingia kwenye mgogoro wa kimaslahi na Rwanda itakayopelekea majeshi ya nchi zote kujiandaa mpakani kwa vita na suluhisho litapatikana baada ya taasisi za kimataifa kuingilia kati. Huu mgogoro utaifanya Rwanda kuzivimbia kichwa nchi zote za Afrika Mashariki na kutengeneza sphere of interest kubwa juu ya eneo lote la maziwa makuu.
 
Hahaha huyo hata Mungu alimuita Muongo, alitabiri nini kuhusu Mtume Muhammad hakuwezi kumfahamu Yesu, akamfahamu Mtume Muhammad.


Paulo alisema uwongo mwingi mimi, nikitoa mifano utakesha humu kusoma, mimi nakupa mmoja mfano:

Paulo alisema hivi kwenye wagalatia.

Wagalatia 2:21 Siibatili neema ya Mungu; kwa maana, ikiwa haki inaweza kupatikana kwa sheria, Kristo alikufa bure.

Lakini Mungu alisema hivi kwenye Ezekieli

Ezekieli 18:9 Yeye hufuata sheria zangu na kuzishika sheria zangu kwa uaminifu. Mtu huyo ni mwenye haki; hakika ataishi, asema BWANA Mwenyezi.

Paulo anamwita Mungu mwongo, kwa hiyo Paulo ni mwongo.
 

Unatia huruma sana Chief. Mbaya zaidi age imesonga, ni ngumu sana kwa age hiyo kupata suluhisho la tatizo lako.
John ni muongo kwako kwasababu tu Muhammad kajaa mia kwa mia kwenye utabiri wake
.
Nafsi inakusuta ila huna namna ni bora ujifariji kwa kumuita muongo๐Ÿ˜.

Unabii wa John unawauma sana waislamu,miaka miwili nyuma niliona Sheikh kupitia Tv iman anasema" Shetan alimfunulia John kuhusu swala la mpinga kristo ili Mtume Muhammad aje aonekane ndiye mpinga kristo".
Tunaojua tunawachora,hamna namna ni lazima mseme chochote ili kusound relevant.
 
Ana track record kama ya Baba Vanga au Nostradamus ?
Hao manguli wana rate kubwa sana ya utabiri wao kuwa sahihi , mfano huyo Baba Vanga mpaka aliyotabiri mwaka huu kuna ambayo yanatokea tayari
Mambo gani aliyotabiri yatatokea mwaka huu na yametokea mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ