Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi nenda vetamasomo yangu ni history kiswahili linguistics inawezekanaje?
Piga with ICT utapata nafasi kwenye Makampuni mengiMimi nina BSC EDCTN ( MATHEMATICS and CHEMISTRY)
Nipige masters ipi EDCTN with ICT au Masters EDCTN with STATISTICS.
Je open university itanifaaa maana nataka nipige kimya kimya sidhan kama nitapata ruhusa kwa mwajiri figisu ni nyingi huku serikalini.
Unapataje connection ya kufanya research za kukuingizia pesa mkuu?Masters zote zina soko sana tatizo wengi hawajui jinsi ya kuitengenezea fedha
Wengi wanasoma masters ili wakapate ajira na vyeo
Dunia ya sasa ni dunia ya utafiti, fanya masters upate taaluma ya kufanya tafiti
Unadhan kwanini ma Prof na wana Taaluma wengi wa SUA na MUHAS hawajikombi kombi kwa wanasiasa? Kule wengi wako busy na research na wanapata sana pesa
Akikujibu ni tag.Unapataje connection ya kufanya research za kukuingizia pesa mkuu?
Hii point ni strong sana aisee. I like itDunia ya sasa ni dunia ya utafiti, fanya masters upate taaluma ya kufanya tafiti
Unadhan kwanini ma Prof na wana Taaluma wengi wa SUA na MUHAS hawajikombi kombi kwa wanasiasa? Kule wengi wako busy na research na wanapata sana pesa
Kila masters inashika kwa kasi katika market. Kikubwa ni target yako tuSana mkuu ila lengo langu ni masters zipi zinashika kasi kwa hivi sasa