Masudi Kipanya akemewe kabla hajaleta machafuko kama Lars Vilks

Tuache kushambulia kabila fulani kwa sababu zozote zile. Ni hatari kuna kuchoka na kujibu mashambulizi.
Mlivyokuwa Mnaigawa nchi kwa ukabila hukuliona hilo

Mlikuwa mnaongea kilugha kwenye mikutano ya hadhara wakati Taifa hili lina makabila mengi

Mliowazima mdomo sasa zamu yao
 
Sukuma ndio kabila kubwa, lenye heshima na wapambanaji. Wape pole Chadema na wanasiasa wengine wanaoangaika kuwachafua maana sioni watachofaulu.
Wasukuma washamba sana, Hata kiswahili hawajui kuongea vizuri

CCM ikajaribu kumpa mtu Madaraka akalewa na kujisahau kuwa tangu uhuru yeye ndio mkuu

Sasa wasukuma Leo hii maofisini watu wanawahamisha kuwarudisha kwenye kazi zao zamani
 
Chadema mnawapiga vita sana wasukuma hamuwezi tena jificha
Hakuna mwana ccm anawapenda wasukuma kwa jinsi walivyoharibu nchi na kuleta ukabila

Samia oyeee eee eeeeee

Tambueni ndugu yenu hata rudi, Sukuma Gang bado ipo na inajifia taratibu

Wasukuma ndio Wasiojulikana, watekaji, waporaji
 
Hakuna kabila linaloitwa "Sukuma". Kuna kabila la Wasukuma (mmoja anaitwa msukuma). Hiyo Sukuma (push) haimaanishi kabila la Wasukuma, la hasha!
 
Huyo mtume kwanza alishakufa na hata angekuwa hai sio ndugu yetu yule na hata yule mwarabu akikashifiwa haitudhuru chochote sisi wamatumbi , ila sisi kukashfiana sisi kwa sisi inachochea ukabila na ni sumu.mbaya sana
Sijaona aliyekashfiwa hapo lakini ni ushamba wako tu
 
Na wewe ni msukuma? Kwanza tuanzie hapo
 
Huwa mnawatukana hao wachaga huku kila siku Wala hawana noma ila masudi kuchora kipanya tu povu kama lots[emoji23][emoji1787][emoji1787]
Wachaga hawatukanwi ila Nyerere alisema tusijiroge kuwapa nchi tutakwisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…