Masudi Kipanya akemewe kabla hajaleta machafuko kama Lars Vilks

Kuna mbunge mmoja akataka kisukuma kiwe Lugha ya biashara Tanzania. Nilishangaa Sana. Akaleta kabisa maoni bungeni.
Nakazia ingekuwa biashara ya kuuza ujinga au biashara ya ngombe??Kwenye mnada chato lazima kisukuma au ilikuwa Dar exchange selling stock futures in kisukuma??Thought we had gone down the drain but didn’t know we were already in the gutter
 
Lars Vilks ni mchora katuni maarufu ambaye aliingiza dunia kwenye machafuko mpaka kutokea vifo na migogoro mikubwa baada ya kuchora katuni ya kumkashifu Mtume Muhammad SAW. Cartoonist huyu ambaye kwa sasa ni marehemu alifikia hapo baada ya kunyamaziwa kwa muda mrefu akaona anayo haki ya kuchora chochote na kudhalilisha yoyote kwa mgongo wa uhuru wa habari.

Hiki ndio ameanza kukifanya Masudi Kipanya anaetumia katuni zake kushambulia kabila la WASUKUMA. Tumkemee sasa kabla hajaamsha hisia za ukabila ambazo zinaenezwa sasa na wanasiasa wa Chadema na wachache ndani ya CCM. Mashambulizi dhidi ya kabila fulani hayapaswi kushabikiwa na mtu yoyote yule kwa maana kuna ku-fight back hapo ndio uja machafuko au kugawana fito.

Sukuma gang = Wasukuma

View attachment 2568357
Sijaona ukabila wowote hapo
 
Naunga mkono hoja,huyu kazidi.
 
Sukuma Genge = Dondosha Genge kwa kulisukuma ,genge haulijui? Haununui nyanya,vitunguaa,bamia,chumvi,dagaa magegengeni?
 
Lars Vilks ni mchora katuni maarufu ambaye aliingiza dunia kwenye machafuko mpaka kutokea vifo na migogoro mikubwa baada ya kuchora katuni ya kumkashifu Mtume Muhammad SAW. Cartoonist huyu ambaye kwa sasa ni marehemu alifikia hapo baada ya kunyamaziwa kwa muda mrefu akaona anayo haki ya kuchora chochote na kudhalilisha yoyote kwa mgongo wa uhuru wa habari.

Hiki ndio ameanza kukifanya Masudi Kipanya anaetumia katuni zake kushambulia kabila la WASUKUMA. Tumkemee sasa kabla hajaamsha hisia za ukabila ambazo zinaenezwa sasa na wanasiasa wa Chadema na wachache ndani ya CCM. Mashambulizi dhidi ya kabila fulani hayapaswi kushabikiwa na mtu yoyote yule kwa maana kuna ku-fight back hapo ndio uja machafuko au kugawana fito.

Sukuma gang = Wasukuma

View attachment 2568357
Sukuma gang lazima wapigwe vita kutoka pande zote, walijiamini wanaiburuza nchi(zama za Mwendawazimu) lakini alipodanja aliyekuwa nyapara mkuu na mirija yao ya asali ikazibwa wameamua kuharibu kila kitu kuanzia serikali mpaka opposition parties yaani hawaelewi hata wasimame wapi.
Hongera Kipanya kuendelea kuielimisha jamii.
 
Sukuma ndio kabila kubwa, lenye heshima na wapambanaji. Wape pole Chadema na wanasiasa wengine wanaoangaika kuwachafua maana sioni watachofaulu.
Kama hakuna watakachofaulu sasa unalialia nini?
Is it lack of confidence or just low self esteem? Kuna makabila yanashambuliwa kila siku lakini kujiamini kwao huwa kuko palepale, hawalii kifalafala.
 
Why wasukuma? Why not wachaga wapare wamakonde wahehe?
Acheni ubaguzi Chadema.
CHADEMA ndiyo wamechora hicho kibonzo?
Factions za ndani ya CCM ndipo ilipozaliwa Sukuma gang, wale waliopinga SASHA kuanza kutengua waliokuwa chawa wa Jiwe na kuweka timu yake(timu Msoga). Huo mpasuko CHADEMA wakaupokea tu kwa faida zao za kisiasa(which is very much okay) lakini Sukuma gang(Bashiru, Ndugai) si kwamba ni kabila kwani wamo wengi ambao si Wasukuma.
 
Lars Vilks ni mchora katuni maarufu ambaye aliingiza dunia kwenye machafuko mpaka kutokea vifo na migogoro mikubwa baada ya kuchora katuni ya kumkashifu Mtume Muhammad SAW. Cartoonist huyu ambaye kwa sasa ni marehemu alifikia hapo baada ya kunyamaziwa kwa muda mrefu akaona anayo haki ya kuchora chochote na kudhalilisha yoyote kwa mgongo wa uhuru wa habari.

Hiki ndio ameanza kukifanya Masudi Kipanya anaetumia katuni zake kushambulia kabila la WASUKUMA. Tumkemee sasa kabla hajaamsha hisia za ukabila ambazo zinaenezwa sasa na wanasiasa wa Chadema na wachache ndani ya CCM. Mashambulizi dhidi ya kabila fulani hayapaswi kushabikiwa na mtu yoyote yule kwa maana kuna ku-fight back hapo ndio uja machafuko au kugawana fito.

Sukuma gang = Wasukuma

View attachment 2568357
Hii mbona kama ni weye wafanya upotoshaji na uchonganishai?

Maana neno lipo dhahiri kabisa "SUKUMA GENGE".

Hayo ya mara ooh ukabila, wasukuma, au sukuma gang yatoka wapi?

Mbona hayo hayapo kwenye hiki kibonzo?
 
ahoni tatizo huyo muache tu [emoji16][emoji16][emoji16]eti uhoni nyiee [emoji16][emoji16]
Kiswahili chake ni cha ngumbaru, tokea mwanzo anaandika kama ameshia darasa la pili B. Nadhani pia huo uandishi wake mbovu unaakisi upeo wake wa akili.
 
Wanaoshambuliwa ni Sukuma Gang sio wasukuma wote. Kuna wasukuma wa kuheshimika sana hapa nchini kama Hayati Askofu Kulola. Ila hao Sukuma Gang kungekuwa na uwezekano wangefutiwa hata uraia wakahamia Somalia. Inahitaji kuwa mwendawazimu ili kuweza kuwatetea Sukuma Gang.
 
Lars Vilks ni mchora katuni maarufu ambaye aliingiza dunia kwenye machafuko mpaka kutokea vifo na migogoro mikubwa baada ya kuchora katuni ya kumkashifu Mtume Muhammad SAW. Cartoonist huyu ambaye kwa sasa ni marehemu alifikia hapo baada ya kunyamaziwa kwa muda mrefu akaona anayo haki ya kuchora chochote na kudhalilisha yoyote kwa mgongo wa uhuru wa habari.

Hiki ndio ameanza kukifanya Masudi Kipanya anaetumia katuni zake kushambulia kabila la WASUKUMA. Tumkemee sasa kabla hajaamsha hisia za ukabila ambazo zinaenezwa sasa na wanasiasa wa Chadema na wachache ndani ya CCM. Mashambulizi dhidi ya kabila fulani hayapaswi kushabikiwa na mtu yoyote yule kwa maana kuna ku-fight back hapo ndio uja machafuko au kugawana fito.

Sukuma gang = Wasukuma

View attachment 2568357
Hizi ni hisia zako tu.

Amchore mungu, itakuwa binaadam?
Haya mengine mnapenda kuyakuza wakati hayana maana yoyote.
 
Genge la WASUKUMA. Uhoni tatizo hapo kuaddress kabila?
Wewe Itakuwa msukuma

Mbona unaumia sana........

Ukisikia paaa limempata

Pole Sana Msukuma mtasemwa kwa miaka mingi sana na vitabu vitaandikwa kwa mambo yenu Yasiofaa
 
Back
Top Bottom