Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sukuma ndio kabila kubwa, lenye heshima na wapambanaji. Wape pole Chadema na wanasiasa wengine wanaoangaika kuwachafua maana sioni watachofaulu.
Huwezo wako ni mdogo wa tafsiri sio kosa lako.Amemshambulia msukuma gani kwa kusema Hakuna Sukuma genge?. Wewe ulitaka usikie lipo Sukuma gang ndio hufurahie maana mnautukuza ukabila utadhani Nini.
Kwa hiyo mnawatukana na kwashambulia kila siku sukuma gang sukuma gang sababu gani?Kwa taarifa yako wasukuma wanaikubali CHADEMA angalia Geita mjini pamoja na wizi wa kijinga CHADEMA walipata kura ngapi?. Kamuulize Mpina alishindwa atakuambia, ilibidi itumike nguvu ya dola. Acheni kuleta ukabila Tanzania. Acheni ujinga.
Hapana huu si utani, huu ni ubaguzi na muendelezo wa mashambulizi kwa wasukuma. Ni wapole ila kuna siku watachoka watajibu.
Ukienda mahakamani twatafuta msamiati Genge una maanisha ..Hapo kaandika SUKUMA GENGE LAKINI
Why wasukuma? Why not wachaga wapare wamakonde wahehe?
Acheni ubaguzi Chadema.
Huwezo wako ni mdogo wa tafsiri sio kosa lako.
" Karne ya 21 mnataja makabila!?" Nyerere
Wewe ndiye unaleta matatizo.zinaenezwa sasa na wanasiasa wa Chadema
Kwa hiyo mnawatukana na kwashambulia kila siku sukuma gang sukuma gang sababu gani?
Sawa endeleeni kuwatania sukuma gang aka wasukuma
ahoni tatizo huyo muache tu 😁😁😁eti uhoni nyiee 😁😁Genge la WASUKUMA. Uhoni tatizo hapo kuaddress kabila?
Kosa ni kuaddress kabila la wasukuma, kuanza kupoint kabilas ni mwanzo wa chuki na uhasama. Anyways tangu nipate story zako kuwa wewe si rizki basi nakupuuza tu.
KabisaYaan mie sijui analenga nini. Maana naona ana machafuko moyoni halafu alichoeka kwa maandishi ji tofauti na uhalisia.
Lugha pale ikulu ilikuwa kisukuma hata walinzi wengi walikuwa wasukuma hata kuna waziri alizungumza kisukuma live wabeja baba
Lars Vilks ni mchora katuni maarufu ambaye aliingiza dunia kwenye machafuko mpaka kutokea vifo na migogoro mikubwa baada ya kuchora katuni ya kumkashifu Mtume Muhammad SAW. Cartoonist huyu ambaye kwa sasa ni marehemu alifikia hapo baada ya kunyamaziwa kwa muda mrefu akaona anayo haki ya kuchora chochote na kudhalilisha yoyote kwa mgongo wa uhuru wa habari.
Hiki ndio ameanza kukifanya Masudi Kipanya anaetumia katuni zake kushambulia kabila la WASUKUMA. Tumkemee sasa kabla hajaamsha hisia za ukabila ambazo zinaenezwa sasa na wanasiasa wa Chadema na wachache ndani ya CCM. Mashambulizi dhidi ya kabila fulani hayapaswi kushabikiwa na mtu yoyote yule kwa maana kuna ku-fight back hapo ndio uja machafuko au kugawana fito.
Sukuma gang = Wasukuma
View attachment 2568357
OkTuache kushambulia kabila fulani kwa sababu zozote zile. Ni hatari kuna kuchoka na kujibu mashambulizi.