Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwangaluka Mayo, ulimwola?......Lars Vilks ni mchora katuni maarufu ambaye aliingiza dunia kwenye machafuko mpaka kutokea vifo na migogoro mikubwa baada ya kuchora katuni ya kumkashifu Mtume Muhammad SAW. Cartoonist huyu ambaye kwa sasa ni marehemu alifikia hapo baada ya kunyamaziwa kwa muda mrefu akaona anayo haki ya kuchora chochote na kudhalilisha yoyote kwa mgongo wa uhuru wa habari.
Hiki ndio ameanza kukifanya Masudi Kipanya anaetumia katuni zake kushambulia kabila la WASUKUMA. Tumkemee sasa kabla hajaamsha hisia za ukabila ambazo zinaenezwa sasa na wanasiasa wa Chadema na wachache ndani ya CCM. Mashambulizi dhidi ya kabila fulani hayapaswi kushabikiwa na mtu yoyote yule kwa maana kuna ku-fight back hapo ndio uja machafuko au kugawana fito.
Sukuma gang = Wasukuma
View attachment 2568357
Sukuma ni kabila. Nahitaji nani anifafanulie kuwa sukuma ni kabila au la?
Kapfo ee,Shimbon mamdenyi
Wewe ni kulalamika tu.Hayo majina mmejipa ninyi wenyewe huko kwenye kikundi chenu cha wezi/CCM.Peleka malalamiko haya mahakamani.Hivi nimesahau tunajadili nini?Unalalamika kuhusu SUKUMA GANG?Ni hivyo?Chadema mnawapiga vita sana wasukuma hamuwezi tena jificha
Bongo kwakweli hiyo sio ishu kabisa maana tunataniana mnooGenge la WASUKUMA. Uhoni tatizo hapo kuaddress kabila?
Tuache kushambulia kabila fulani kwa sababu zozote zile. Ni hatari kuna kuchoka na kujibu mashambulizi.
Hapo kuna vita gani nimepiga kwa hao WasukumaChadema mnawapiga vita sana wasukuma hamuwezi tena jificha
Rwanda kuna kabila liliitwa mende. Una address kabila unaibua hisia. Hisia ni ngumu kudhibiti.
Sukuma Gange sio?Lars Vilks ni mchora katuni maarufu ambaye aliingiza dunia kwenye machafuko mpaka kutokea vifo na migogoro mikubwa baada ya kuchora katuni ya kumkashifu Mtume Muhammad SAW. Cartoonist huyu ambaye kwa sasa ni marehemu alifikia hapo baada ya kunyamaziwa kwa muda mrefu akaona anayo haki ya kuchora chochote na kudhalilisha yoyote kwa mgongo wa uhuru wa habari.
Hiki ndio ameanza kukifanya Masudi Kipanya anaetumia katuni zake kushambulia kabila la WASUKUMA. Tumkemee sasa kabla hajaamsha hisia za ukabila ambazo zinaenezwa sasa na wanasiasa wa Chadema na wachache ndani ya CCM. Mashambulizi dhidi ya kabila fulani hayapaswi kushabikiwa na mtu yoyote yule kwa maana kuna ku-fight back hapo ndio uja machafuko au kugawana fito.
Sukuma gang = Wasukuma
View attachment 2568357
Hakuna madharaIts so funny mpaka siku mtaja ona madhala yake.
Sukuma ndio kabila kubwa, lenye heshima na wapambanaji. Wape pole Chadema na wanasiasa wengine wanaoangaika kuwachafua maana sioni watachofaulu.
Why Wasukuma kwenye nini ? Wewe ndio umeanza kuleta Wasukuma, wakati hakuna mtu aliyetaja hao watuWhy wasukuma? Why not wachaga wapare wamakonde wahehe?
Acheni ubaguzi Chadema.
Sukuma ni kabila. Hakuna tafsiri mpya. Sioni afya ya kushambulia wasukuma. Masudi ameingia mtego mbaya sana.