Jamanii Mange nae ana shepu kumbeee hahhhhhahhha Matola naomba aje amuoneee
Yule dada anashepu lakini sidiria zake zinamwangusha....bado anavaa mama nibebe.
Hahahahahahaha uchokozi huo sasa...wamemuweka hapo wa nini kama si kututafuta machimboni tulikojificha
Shouger sijakujibu naumwa siko vizuri hata hapa niko mguu mmoja huku mwingine nasikilizia maumivu
Bila kumsahau mbuta nanga
Bila kumsahau mbuta nanga
[/IMG][/QUOTE]
duh... the upper part is extremely larger than the lower part of her body.... i.e miguu iko too tiny... kama sim tank kwenye yale machuma..
and she is like, am allergic to long skirts and gowns.. daah
Mkuu hapa yani ni full kutiana majaribuni, na anageuka makusudi ili dah
Yaan balaa hilii poleee kwa kuumwaaa aisee karibu MMU
Huyo bishosti sijamsoma labda sio supastaa nini?Taja tu jinaaa usiogopee
duh... the upper part is extremely larger than the lower part of her body.... i.e miguu iko too tiny... kama sim tank kwenye yale machuma..
and she is like, am allergic to long skirts and gowns.. daah
Designer wa huyu dada ni nani naona amekosewa kuvalishwa