Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
sasa kama anakisaidia chama chako cha ccm kwanini unataka ajiuzulu , hutaki msaada ?Tawi la CCM chini ya Mbowe!.
Mbowe anapaswa astafu.
Chama cha watu wanaojielewa.Kama ulikuwa hujui basi nakujuza Rasmi kwamba , Chadema haisubiri mwaka upauke , tayari wameanza kwa kasi mipango yao .
Wanachonifurahisha ni kwamba , hawana kiherehere na Mgombea urais wa 2025 , wanapanga mambo yao na kukabidhiana majukumu , yale mambo ya sijui ichapishwe fomu 1 ya urais ili kumbeba asiye na uwezo , kwenye chama hiki hakuna , zitachapishwa fomu hata 100 ili mradi kila anayedhani anaweza achukue na kuirejesha .
Habari kamili hii hapa
View attachment 2860999View attachment 2861002
Mawazo yako ni duni sana !VIkoba wamefungua mradi wa kuuza maji safi wanataarifiwa bei elekezi!
Wanachama tunaojitambua tushajua mbowe ni kibaraka wa CCM, ndio maana ametumwa rushwa ya 150 na Mwenyekiti wake Samia akawahonge watu Hai.sasa kama anakisaidia chama chako cha ccm kwanini unataka ajiuzulu , hutaki msaada ?
Kwani Chadema wana mgombea wa urais Hadi wahangaike na fomu za urais? Ebu sema huwa mna wagombea wangapi wa urais? Lowassa alishindanishwa na nani huko Chadema? Lissu na nani? Dr Slaa? Mbowe? Wote waligombea kwa fomu moja tu.Kama ulikuwa hujui basi nakujuza Rasmi kwamba , Chadema haisubiri mwaka upauke , tayari wameanza kwa kasi mipango yao .
Wanachonifurahisha ni kwamba , hawana kiherehere na Mgombea urais wa 2025 , wanapanga mambo yao na kukabidhiana majukumu , yale mambo ya sijui ichapishwe fomu 1 ya urais ili kumbeba asiye na uwezo , kwenye chama hiki hakuna , zitachapishwa fomu hata 100 ili mradi kila anayedhani anaweza achukue na kuirejesha .
Habari kamili hii hapa
View attachment 2860999View attachment 2861002
Nakuona mwenyewe karibu na maji unayalinda wahuni wasikwapue!Mawazo yako ni duni sana !
uko dunia ipi ?Kwani Chadema wana mgombea wa urais Hadi wahangaike na fomu za urais? Ebu sema huwa mna wagombea wangapi wa urais? Lowassa alishindanishwa na nani huko Chadema? Lissu na nani? Dr Slaa? Mbowe? Wote waligombea kwa fomu moja tu.
Sasa unaweweseka mnasubiri Ndugai ampe hela Mbowe mumpe fomu.
una macho makali sana !Nakuona mwenyewe karibu na maji unayalinda wahuni wasikwapue!
😀 ubarikiwe 2024 uwe mwaka wako wa mafanikio mkuu!una macho makali sana !
Mafanikio yangu makubwa ni kuona ccm inatokomezwa Tanzania , tumeanzia Kyela , tayari ccm tushaitokomeza , Mwakyembe kakimbilia D'Salaam😀 ubarikiwe 2024 uwe mwaka wako wa mafanikio mkuu!
Kumbe Chadema bado haijafa !Duu kwa kuwaangalia tu hapo unaona namna walivyojikatia tamaa na kupoteza matumaini ya kila kitu.hapo wapo kimwili tu lakini kiakili na kimawazo hawapo hapo wala hawapo ndani ya CHADEMA.hapo muda wowote ule wanachomoka zao na kuingia ndani ya CCM Chama ambacho kimebeba matumaini ya mamilioni ya watanzania.
Cha kushangaza ndio jimbo linaloongoza kwa kutoa Wabunge wa ChademaMaswa walishaikataa chadema baada ya Lisu kusaliti taifa kwa MIGA