Pre GE2025 Maswa: CHADEMA yafanya Mkutano Mkuu wa Jimbo, hawakusema wanataka fomu 1 tu ya Mgombea wao wa Urais 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Kama ulikuwa hujui basi nakujuza Rasmi kwamba , Chadema haisubiri mwaka upauke, tayari wameanza kwa kasi mipango yao.

Wanachonifurahisha ni kwamba, hawana kiherehere na Mgombea urais wa 2025, wanapanga mambo yao na kukabidhiana majukumu, yale mambo ya sijui ichapishwe fomu 1 ya urais ili kumbeba asiye na uwezo, kwenye chama hiki hakuna, zitachapishwa fomu hata 100 ili mradi kila anayedhani anaweza achukue na kuirejesha.

Habari kamili hii hapa

Screenshot_2024-01-03-16-19-01-1.png
Screenshot_2024-01-03-16-18-17-1.png
 
Kama ulikuwa hujui basi nakujuza Rasmi kwamba , Chadema haisubiri mwaka upauke , tayari wameanza kwa kasi mipango yao .

Wanachonifurahisha ni kwamba , hawana kiherehere na Mgombea urais wa 2025 , wanapanga mambo yao na kukabidhiana majukumu , yale mambo ya sijui ichapishwe fomu 1 ya urais ili kumbeba asiye na uwezo , kwenye chama hiki hakuna , zitachapishwa fomu hata 100 ili mradi kila anayedhani anaweza achukue na kuirejesha .

Habari kamili hii hapa

View attachment 2860999View attachment 2861002
Chama cha watu wanaojielewa.
 
Sasa Fomu Moja ameshatangaza Makamu mwenyekiti Kinana unataka wao warudie?
 
VIkoba wamefungua mradi wa kuuza maji safi wanataarifiwa bei elekezi!
 
sasa kama anakisaidia chama chako cha ccm kwanini unataka ajiuzulu , hutaki msaada ?
Wanachama tunaojitambua tushajua mbowe ni kibaraka wa CCM, ndio maana ametumwa rushwa ya 150 na Mwenyekiti wake Samia akawahonge watu Hai.
#Mbowe tupishe ndani ya chdema.
 
Kama ulikuwa hujui basi nakujuza Rasmi kwamba , Chadema haisubiri mwaka upauke , tayari wameanza kwa kasi mipango yao .

Wanachonifurahisha ni kwamba , hawana kiherehere na Mgombea urais wa 2025 , wanapanga mambo yao na kukabidhiana majukumu , yale mambo ya sijui ichapishwe fomu 1 ya urais ili kumbeba asiye na uwezo , kwenye chama hiki hakuna , zitachapishwa fomu hata 100 ili mradi kila anayedhani anaweza achukue na kuirejesha .

Habari kamili hii hapa

View attachment 2860999View attachment 2861002
Kwani Chadema wana mgombea wa urais Hadi wahangaike na fomu za urais? Ebu sema huwa mna wagombea wangapi wa urais? Lowassa alishindanishwa na nani huko Chadema? Lissu na nani? Dr Slaa? Mbowe? Wote waligombea kwa fomu moja tu.
Sasa unaweweseka mnasubiri Ndugai ampe hela Mbowe mumpe fomu.
 
uko dunia ipi ?
 
Legal assistants waandaliwe mapema ndani ya chama ,wagombea wakikosea andika majina waitwe waambiwe mmekosea mkabadilishe
 
😀 ubarikiwe 2024 uwe mwaka wako wa mafanikio mkuu!
Mafanikio yangu makubwa ni kuona ccm inatokomezwa Tanzania , tumeanzia Kyela , tayari ccm tushaitokomeza , Mwakyembe kakimbilia D'Salaam
 
Duu kwa kuwaangalia tu hapo unaona namna walivyojikatia tamaa na kupoteza matumaini ya kila kitu.hapo wapo kimwili tu lakini kiakili na kimawazo hawapo hapo wala hawapo ndani ya CHADEMA.hapo muda wowote ule wanachomoka zao na kuingia ndani ya CCM Chama ambacho kimebeba matumaini ya mamilioni ya watanzania.
 
Kumbe Chadema bado haijafa !
 
Back
Top Bottom