Maswahibu yanayomkuta Halima Mdee yalinikuta na Mimi, tofauti tu yeye ni Senior Mimi nilikuwa Junior


Kuna namna fulani hujaeleza vyema, lazima mlileta fitina kwenye hiyo deal, deal zote ni lazima zipite kwenye channel sahihi.....

Nyie bila kampuni ni sawa na tractor pale Lugalo JKT, sasa management inaona ikiwaendekeza mtakuja kuwasaliti........

Mmeonekana maana Mpo hapo, ni lazima mthamini that platform, sasa Hemu tulia uanze kusema mlipokosea ni wapi!
 
Fuso kama fuso.... Nzuri hiyo ofsaaa
 
Fuso ndio nini, m ona hueleweki?
 

Hao wanatimuliwa ili wasiweke kiwingu kwenye mgao, maana wakiwepo italeta maneno. Inabidi wapishe kwanza.
 
Dah! Kampuni linapoteza MTU aliyeleta deal
 
Poa Mkuu za kwako? Nimeshangaa sana jinsi Clippers walivyozembea na kummpoteza yule defender mzuri sana. Kuumia kwa Clay pia ni pigo kubwa sana. Kama Lakers watakuwa healthy msimu wote sioni timu ya kuwasimamisha kwani sasa wamekuwa wazuri zaidi kuliko msimu uliokwisha.
Habari za siku mkuu?

Vipi mtazamo wako kuhusu kikosi cha kina LBJ, watarudia ubingwa?
 

Niko powa mkuu. Reports nyingi zinaonesha Kawhi na George walikuwa wanapewa upendeleo sana, na ndiyo chanzo cha jamaa kuondoka maana alikuwa haelewani nao.

Mpaka sasa naona Clippers hawajapata PG wa kueleweka, sijui itakuwaje.

Klay kuumia kwake imeniuma kiasi kwa kukosa game za ushindani, ila kishabiki nafurahi maana natamani LBJ apate tena ubingwa.
 
Nakumbuka jamaa aliwahi kusema hovyo kuhusu huo upendeleo wa Kahwi na George lakini naona akanyamazishwa haraka. Nilikuwa naisubiri game ya Lakers na GSW kwa hamu kuu on Xmas day kama sikosei ila haitakuwa na ushindani nilioutegemea.
 
Nakumbuka jamaa aliwahi kusema hovyo kuhusu huo upendeleo wa Kahwi na George lakini naona akanyamazishwa haraka. Nilikuwa naisubiri game ya Lakers na GSW kwa hamu kuu on Xmas day kama sikosei ila haitakuwa na ushindani nilioutegemea.

XMas GSW atakuwa kwa Bucks. Lakers atamkaribisha Luka Doncic.
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…