Alubati
JF-Expert Member
- May 29, 2016
- 6,535
- 14,840
Nyie jamaa bhana!!XMas GSW atakuwa kwa Bucks. Lakers atamkaribisha Luka Doncic.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyie jamaa bhana!!XMas GSW atakuwa kwa Bucks. Lakers atamkaribisha Luka Doncic.
XMas GSW atakuwa kwa Bucks. Lakers atamkaribisha Luka Doncic.
kumbuka kasoma nje pia??Hahaha kwa hiyo CEO akasema "Laura take care of THIS young boys" au siyo?
Na nyinyi mlikua wawili? Halafu ni "... THIS young boys"
Bomba zote hizi but Lakers are in another level as compared to Dallas or any other team in the league.
Nyie jamaa bhana!!
Okay![emoji1690][emoji119][emoji119]Tunachangamsha genge mkuu huku tukisubiri FUSO lirudi road kutumalizia safari.
Okay![emoji1690][emoji119][emoji119]
Nishasoma uelekeo wake tayariMpaka sasa nashindwa kuoanisha hii story na issue ya Halima Mdee.
Nishasoma uelekeo wake tayari
Tupe summary mkuu, brief.
Wacha nimalizie hii stori kwa upande Halima Mdee.
Yani Halima Mdee kaipigania CDM muda mrefu imekuwa maarufu lakini dili walilopanga na Mbowe kwa sababu halikupitia kwa katibu mkuu ndio mana wametoswa....dah inauma sana.
Mwisho wa story hii lazima Halima Mdee aonekane kaonewa sana, na hakupaswa kufukuzwa,yan hapo CDM wamebug sana....kama mnabisha basi
Hawa ni moja ya vijana wanaopambana sana kumuona Halima kaonewa...mimi sio mwanasiasa ila utaniambia huko mbele
Hii ni CHAI tena ameipika kidogo kidogo saivi anaivisha nyingine ili ionekane kweliRiwaya.com
Mkuu hivi houston rocket wana shida gan wale jamaa bahati hawana au?Yes, let's hope they live up to expectations.
Mkuu hivi houston rocket wana shida gan wale jamaa bahati hawana au?
Sent using Jamii Forums mobile app
Okota na hizo za chini😆😆😆