Maswahibu yanayomkuta Halima Mdee yalinikuta na Mimi, tofauti tu yeye ni Senior Mimi nilikuwa Junior

Binafsi nafikiri ni style waliyokuwa wanaitumia chini ya kocha aliyeondoka, ilikuwa rahisi kukabika.

Playoff inahitaji adjustments kibao, ukimkaba James Harden umemaliza case.
Wale jamaa sikutegema kama wangepigwa 4-1 na kuishia game 5 kizembe na lakers ukizngatia kwa three points walikuwa vzur kuliko lakers....anyway chama langu GSW sijui safari watakuaje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lakers ukiangalia game zao nyingi walikuwa wanafanya adjustments sana, baada ya game 1 walibadili mfumo na kuwapa muda zaidi Markief Morris na Dwight Howard.

Houston kwa kumtumia Harden kwenye Iso Balls, walikuwa so predictable. Na hawakuwa na matchup nzuri ya kumkaba AD.
 
Kabla hujafukuzwa kazi tu ukazimia je maisha yakikupiga kama sisi si utalazwa ICU kaza mkuu
 
Lakers ukiangalia game zao nyingi walikuwa wanafanya adjustments sana, baada ya game 1 walibadili mfumo na kuwapa muda zaidi Markief Morris na Dwight Howard.

Houston kwa kumtumia Harden kwenye Iso Balls, walikuwa so predictable. Na hawakuwa na matchup nzuri ya kumkaba AD.
Hapo nimekusoma AD alichafua sana play off akja kupoa fainal na LBJ akamlzia kaz game za fainal jamaa chemistry yao iko poa sana......

Sema me msimu huu nawabetia reptors na clippers

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo nimekusoma AD alichafua sana play off akja kupoa fainal na LBJ akamlzia kaz game za fainal jamaa chemistry yao iko poa sana......

Sema me msimu huu nawabetia reptors na clippers

Sent using Jamii Forums mobile app

Raptors hamna kitu msimu huu, labda kama kuna trades watafanya.

Maana Mark Gasol na Serge Ibaka walivyoondoka sijaona replacement zao in terms of defense.

Clippers kwa mbali sana, ngoja tuone itakuwaje, maana nao wanalalamikiwa kutokuwa na vocal leaders. Halafu hawajasajili point guard mpaka sasa, sijui watamchukua nani kwenye hiyo role.
 
Duh gasol na ibaka wamesepa kumbe daaah basi kwl hamna kitu.....Bucks ttzo lao utot mwng ila atawanynyasa sana ukanda wao kama ndo ivo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh gasol na ibaka wamesepa kumbe daaah basi kwl hamna kitu.....Bucks ttzo lao utot mwng ila atawanynyasa sana ukanda wao kama ndo ivo

Sent using Jamii Forums mobile app

Gasol kaenda Lakers, Ibaka kaenda Clippers.

Kwa East tunategemea competition kuwa kubwa kati ya Heats, B - Nets ya KD na Kyrie, Boston, Bucks probably na Phills.
 
Hmm hawa Lakers hawa ...jamaa uzur pesa wanazo nimeona JLB kapewa $85 million kwa misimu miwl nikachoka

Sent using Jamii Forums mobile app

Yes, NBA huwa wana categories za mishahara, basing on performance, age, accomplishments, markets nk.

Nadhani hiyo aliyosaini LBJ ni maximum kwa category yake.

AD pia kasign ya miaka 5, USD 190m.
 
Maswahibu yanayomkuta Halima Mdee yalinikuta na mimi, tofauti tu yeye ni Senior na mimi nilikuwa Junior. (Soma kisa changu hiki cha ukweli kwa ufupi kabisa)

Baada tu ya kuhitimu chuo nje ya nchi miaka hiyo ya juzi kati nilirudi nchini na kupata kazi bila kuchelewa katika kampuni binafsi ya Technohama (Information Technology) katika idara ya Ufundi ( Technical Department)
Baada tu ya kukamilisha miezi sita ya uangalizi kazini na kupata barua rasmi ya kuajiriwa kuna siku katika kutimiza majukumu yangu nikakutana na mteja (CEO wa kampuni moja) akapenda sana technologia yetu na kutaka kuitumia kwenye kampuni yake, akanipa miadi niende ofisini kwake ili nimweleze vizuri namna Technologia yetu inavyofanya kazi.

Nilirudi ofisini kwetu nilimshirikisha mwenzangu tulie ajiriwa naye siku moja ili tuwe wawili tukasaidiane kumdadavulia nondo CEO huyo wa kampuni kubwa ( Ipo hadi leo); Mwenzangu akakubali. Kesho yake asubuhi tulifika ofisini kwa CEO huyo tukapokelewa vizuri na kupelekwa kwa Katibu muhtasi wake ambaye naye akatupeleka hadi ofisini kwa bosi wake. Ofisi kubwa nzuri ambayo sikuwahi kufikiri naweza kuingia, basi tukamweleza vizuri mno namna Technologia yetu inavvyofanya kazi na namna anaweza kuitumia, maana alikuwa na office Tanzania, Rwanda, Kenya, Uganda na Burundi. Akatuambia amepanga kutumia kama dola laki mbili kufanikisha hilo ambapo ni kama mil 460 na ushee kwa hivi kwa sasa, akatuambia tukacheki na CEO wetu ama muhusika yeyote ofisini kwetu ili aje kupanga hilo deal.

Tuliagana, akatutoa ofisini kwake hadi kwa katibu muhtasi wake na kumwambia atuangalie.... nanukuuu " Laura , Please take care of these young boys.." akafunga mlango wake akatuacha sisi na dada Laura... huku tukitaka kutoka dada Laura akafungua fridge akatupatia soda moja moja kila mtu kwa chaguo lake na tulivyomaliza akatupatia barua, kila moja ya kwake... tukashukuru tukaondoka..huku atuamini kama haya yanayotokea ni yetu sisi ama tunaota.

Tulipofika nje tuliangaliana na kuangusha kutabasamu kali kwa pamoja, nilifungua barua yangu aisee nikakuta wekundu kadhaa wamejipanga halikadhalika na rafiki yangu na yeye hivyo hivyo.... nikajua fikakwamba sasa maisha yanakwenda kutunyookea, tunapeleka dili la dola laki mbili ofisini? kweli?.... Mungu si athumani aisee.

Tulipofika ofisini moja kwa moja kwa CEO wa kampuni yetu uzuri tulimkuta- ilikuwa huwezi kuingia hovyo hovyo ila tuliweza kwa sababu CEO huyo alikuwa mtu wa kujichanganya na staff hasa vijana - tulimwomba masijala bayana wake na akaturuhusu, tukagonga tukaingia tukamwambia kuhusu deal hilo - alifurahi saana na kutuambia muda wowote tumlete mteja huyo.

Tulimpigia mteja wetu na kumwambia CEO kashakubali hivyo kesho saa tatu afike ofisini kwa ajili ya mazungumzo - kweli Kesho yake asubuhi akafika ofisini kwetu akiwa pale reception akanipigia simu, nikiwa na rafiki yangu tukashuka chini tukampokea mteja wetu na kwenda moja kwa moja ofisini kwa CEO.

Tulifika ofisi ya Masijala Bayana alituashiria kwamba twende moja kwa moja maana bosi kubwa alikuwa anatusubiria....nikiwa nimetangulia nilifungua mlango na kukutanisha macho na CEO huku nikiachia tabasabu kubwa na yeye pia.... akatupokea wote watatu tukaketi - nilifanya utambulisho mfupi kwake na baadaye mteja wetu naye alitushukuru mimi na mwenzangu kwa ufafanuzi mzuri wa namna Techologia yetu inavyofanya kazi, CEO wetu alitushukuru sisi yaani mimi na mwenzangu, akatuomba tuondoke ili sasa yeye aongee vizuri na mwenyeji wake, tulisimama tukatabasamu na kutoka ofisini kwake.

Waliongea humo kwa takibani dk 20 hivi baadaye tukamwona mgeni wetu akitoka wakiwa na CEO na kutupungia sign na dole gumba ( ofisi ya CEO ipo pembeni mwa department ya Ufundi) baada ya kama dakika tatu nikapata message toka wa mteja wetu akisema " Mr X deal done) huku X akitaja jina langu.

Nilifurahi mno mno, nikamuonyesha message rafiki yangu, aisee nikajua sasa natoka kimaisha nikiwa ningali kijana mdogo ( wakati huo nilikuwa na miaka 26 tu) maana nilijua watu wa sales huwa wakileta wateja huwa wanapata 10% ya deal zima. Nikapiga hesabu za haraka haraka nikajua tuna kama 46m commission mbele yetu ... Mungu akupe nini...

.....itaendelea baadaye.. usikose kujua nini kilifuatia kesho yake.......

ilipofika saa 11 kasoro siku hiyo hiyo kabla tu sijatoka ofisini nikapata email toka kwa Operation Manager kwamba ananiomba kuwa na mkutano naye kesho yake saa tatu kabla ya kwenda site. Nilikubali mwaliko huo kwa njia ya email. Nilimuuliza na mwenzangu na yeye akawa kapata pia email hiyo kwa hiyo tukajua kabisa kwamba sisi wote wawili tunahitajika kwa line Manager wetu hiyo saa tatu asubuhi kesho yake. hatukuwa na wasiwasi tukajua kabisa sasa mambo yameiva.... tukajua yawezekana tukaambiwa sisi ndiyo tusimamie hiyo installation yote Rwanda, Kenya, Burundi na Uganda..... nikahisi Mungu kafungua mbingu, neema imetushukia....

Saa tatu kamili tuliingia chumba cha mkutano, tukamkuta Sales Manager pia yumo ndani, baada ya kusalimiana tukajulishwa kwamba OM (Operation Manager) kajuliswa na CEO kwamba tumepata potential customer ambaye anataka kutumia technologia yetu, yeye na Sales Manager wakatushukuru mno kwa hilo. Akaendelea kutuambia kwamba pamoja na asante hiyo ...

inaendelea....... (bado na type usiondoke)

Akaendelea kutuambia kwamba pamoja na asante hiyo tumevunja itifaki ya kampuni kwa kupeleka deal moja kwa moja kwa CEO badala ya kupitia kwake OM ambaye ndiye line manage wetu.. hii tuliambiwa mapema wakati wa orientation yetu, kwa hiyo ni lazima tuchukuliwe hatua za kinidhamu huku akitoa ka kitabu hako ka Policies & Procedures na kutuambia tusome ukurasa wa kumi ambapo ulieleza endapo mfanyakazi ambaye si wa idara ya mauzo endapo atapata mteja ama biashara je afanyaje?.

Wakati huo Sales Manager alikuwa kimya akituangalia kwa makini, tuliambiwa kama tuna utetezi wowote tuuseme muda huo kabla hatujapewa adhabu yetu ingawa aligusia kwamba adhabu inaweza kufikia hata kufukuzwa kazi..

Sikuamini... sikuamini; Yaani kumbe kujiongeza kwangu kote kule nilidhani naisaidie kampuni yangu kumbe ndiyo nimeharibu kabisa.. sikuamini.. Chumba kilikuwa na AC kali ila tulianza kutoka jasho jembamba... kabla ya utetezi nilianza kulia huku nampigia magoti OP wangu, nikaishiwa nguvu nikaanguka kwenye kapeti - mwenzangu kichwa kikaangukia meza kimyaaaa.....

..inaendelea..

Nikasikia kwa mbali OP akisema you need to see the company secretary immediate after this...wakatoka wakatuacha - tulibakia pale conference kwa muda kama nusu saa, nikazinduka nikamshtua mwenzangu nikamwambia kaka jikaze huu ndiyo ukubwa, tayari tushaingia cha kike - wamesema tukamwone secretary pale chini hatuna namna... Kosa letu kubwa tunatuhumiwa nalo kujaribu kujipatia commission bila kufuata utaratibu... tume pindisha deal kwa makusudi ili tujipatie fedha huku tukijua kufanya hivyo ni kosa kubwa.

Tulitoka huko, baadhi ya staff wakitushangaa mno kulikoni?? maana hatuwashirikisha kwa lolote kwa hiyo hawakujua what is going on...
Tulifika pale reception, tukakuta barua tayari zilishachapwa na kusainiwa tayari kwamba kwa kosa tulilofanya hatuwezi kuvumilika hivyo sisi si wafanyakazi tena wa kampuni kuanzia muda huo - tutapewa mshahara wa mwezi mmoja kama sheria inavyotaka na tunatakiwa kukabidhi vitu vya office siku hiyo hiyo na kuondoka.

Aisee nilitamani nife kabisa, niliona maisha yangu hayana maana tena - nilifikiria je ntalipaje pango, nitakula nini? maisha magumu.. kikakabidhi vitu vyao nikachukua barua yangu ya kufukuzwa nikasepa - mshikaji wangu pia hivyo hivyo tukaondoka - kabla ya kuagana kituo cha basi tukapanga tukutane kesho getoni kwangu tupange nini cha kufanya......

....inaendeea usiondoke
Kisa chako hakilingani kabisa na akina Mdee na huwezi kusema yaliyo wakuta akina Mdee ni maswahibu. Swahibu huja kama ajali bila kupanga kama hilo lako lakini akina Mdee hilo siyo swahibu kwakuwa walikuwa wanajua kuwa wanafanya kosa na kwa tamaa ya vyeo na pesa. Wele akina Mdee ni wasaliti na wachumia tumbo
 
Mkuu ndio umezimia tena baada ya kukumbuka
 
FUSO ebu changamka maliza story.
 
Back
Top Bottom