Maswahibu yanayomkuta Halima Mdee yalinikuta na Mimi, tofauti tu yeye ni Senior Mimi nilikuwa Junior

Binafsi nafikiri ni style waliyokuwa wanaitumia chini ya kocha aliyeondoka, ilikuwa rahisi kukabika.

Playoff inahitaji adjustments kibao, ukimkaba James Harden umemaliza case.
Wale jamaa sikutegema kama wangepigwa 4-1 na kuishia game 5 kizembe na lakers ukizngatia kwa three points walikuwa vzur kuliko lakers....anyway chama langu GSW sijui safari watakuaje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lakers ukiangalia game zao nyingi walikuwa wanafanya adjustments sana, baada ya game 1 walibadili mfumo na kuwapa muda zaidi Markief Morris na Dwight Howard.

Houston kwa kumtumia Harden kwenye Iso Balls, walikuwa so predictable. Na hawakuwa na matchup nzuri ya kumkaba AD.
 
Kabla hujafukuzwa kazi tu ukazimia je maisha yakikupiga kama sisi si utalazwa ICU kaza mkuu
 
Hapo nimekusoma AD alichafua sana play off akja kupoa fainal na LBJ akamlzia kaz game za fainal jamaa chemistry yao iko poa sana......

Sema me msimu huu nawabetia reptors na clippers

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo nimekusoma AD alichafua sana play off akja kupoa fainal na LBJ akamlzia kaz game za fainal jamaa chemistry yao iko poa sana......

Sema me msimu huu nawabetia reptors na clippers

Sent using Jamii Forums mobile app

Raptors hamna kitu msimu huu, labda kama kuna trades watafanya.

Maana Mark Gasol na Serge Ibaka walivyoondoka sijaona replacement zao in terms of defense.

Clippers kwa mbali sana, ngoja tuone itakuwaje, maana nao wanalalamikiwa kutokuwa na vocal leaders. Halafu hawajasajili point guard mpaka sasa, sijui watamchukua nani kwenye hiyo role.
 
Duh gasol na ibaka wamesepa kumbe daaah basi kwl hamna kitu.....Bucks ttzo lao utot mwng ila atawanynyasa sana ukanda wao kama ndo ivo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh gasol na ibaka wamesepa kumbe daaah basi kwl hamna kitu.....Bucks ttzo lao utot mwng ila atawanynyasa sana ukanda wao kama ndo ivo

Sent using Jamii Forums mobile app

Gasol kaenda Lakers, Ibaka kaenda Clippers.

Kwa East tunategemea competition kuwa kubwa kati ya Heats, B - Nets ya KD na Kyrie, Boston, Bucks probably na Phills.
 
Hmm hawa Lakers hawa ...jamaa uzur pesa wanazo nimeona JLB kapewa $85 million kwa misimu miwl nikachoka

Sent using Jamii Forums mobile app

Yes, NBA huwa wana categories za mishahara, basing on performance, age, accomplishments, markets nk.

Nadhani hiyo aliyosaini LBJ ni maximum kwa category yake.

AD pia kasign ya miaka 5, USD 190m.
 
Kisa chako hakilingani kabisa na akina Mdee na huwezi kusema yaliyo wakuta akina Mdee ni maswahibu. Swahibu huja kama ajali bila kupanga kama hilo lako lakini akina Mdee hilo siyo swahibu kwakuwa walikuwa wanajua kuwa wanafanya kosa na kwa tamaa ya vyeo na pesa. Wele akina Mdee ni wasaliti na wachumia tumbo
 
Mkuu ndio umezimia tena baada ya kukumbuka
 
FUSO ebu changamka maliza story.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…