Maswali 2 ya Luhanga Mpina kwa Raisi Samia

Hii nchi nachukia viongozi wake kuliko wale wakoloni waliofurushwa...
Sawa serikali inamdai mwalimu kwakumsomesha chuo LAKINI ndiyo inamkata mshahara mpaka unabaki chini ya 1/5??
Huu si tuu upumbafu wahali ya juu bali ni ushetani wa viwango vibaya!!
I hate you stupid leaders and I wish you nothing than but he'll life like your fellow Sat'an!! And I mean it.
 
Pole sana teacher, unafundisha masomo gani?
 
Kuna ombwe la uongozi,uongozi imekuwa dhana ya uchawa na uchawi pale ofisi kuu
 
Hapo ulikuwa unamaanisha nini bro?
 
Maswali ya Luhaga Mpina ni mazuri lkn bahati mbaya yameelekezwa kwa kichwa mbovu hana ubongo wa kuyajibu
 
Namjibia yule ni mkwe wangu, unataka wajukuu wafe njaa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…