Maswali ambayo Pascal Mayalla amemuuliza Tundu Lissu, nimeona ni muda sahihi Pascal ku-step down.!

Pascal amewahi kuendesha kipindi cha KITI-MOTO ambacho kilimpa umaarufu Sana

So na ukisoma makala zake za nyuma jamaa alikuwa very smart katika sehemu zote zinazohusu habari
 
Kwanza Kabisa nampogneza Ndugu Pascal Mayalla kwa kuifanya Kazi yake ya uandishi wa habari Kwa muda mrefu .

Kwa ambao tunamfahamu Pascall Mayalla wa miaka 20 nyuma ni tofauti na huyu wa sasa .

Kuna mambo matatu nimeyaona tangu mwaka 2016 tangu Pascal Mayalla aulize swali mbele ya the late JPM .

• 1 Baada ya kuuliza lile swali tata ambalo sio tu lilimfanya Mayalla kujulikana Ila lilimjengea Sana heshima kubwa kwake Ila inaonekana matokeo ya swali lake hayakuwa mazuri Sana .

Inawezekana alitishwa , inawezekana biashara zake na kampuni yake ilianza kufatiliwa n.k

Baada ya 2016 Pascal Mayalla amepoteza ule weledi wake .

Kosa kubwa alilolifanya ni kujiingiza Katika siasa za Ccm kipindi ambacho Ccm haimuhitaji, na kugombea ubunge wa Kawe pamoja na ubunge wa EAC.

Sasa baada ya kuingia Ccm bado hawampi ile heshima yake Kama Mwanahabari mkongwe na akihitaji Kuwa karibu na Mh bado hawamkubalii kirahisi

Mfano ilivyokuwa kule MBEYA.

Hivyo haya mambo yote anayoyapitia ameshindwa kujua kipi asimamie .

Ukifatilia maswali aliyomuuliza TAL juzi mbele ya Balile hayakuwa na weledi , yaani anachanganya mambo matatu Kwa wakati mmoja na kusahau maslahi ya nchi ni muhimu kuliko maslahi ya TAL

Mfano anamwambia TAL kuwa Mama alikufata Nairobi , alikubali kuonana na wewe Belgium na alimtoa Mbowe Gerezani .

Ebu jiulize haya maswali ?

Mama alienda Nairobi kumuona Lissu kitandani au alienda katika kuapishwa kwa Uhuru Kenyata ndo akapitia Kwa Lissu ?

Je Mama alienda Belgium kuonana na Lissu au alienda katika ziara yake binafsi ya kikazi Kama Rais na ndipo alionana na Lissu?

Je Mbowe kukaa gerezani Kwa mashtaka ya ugaidi ilikuwa halali na je ni Kazi ya Rais kusamehe magaidi wa hii nchi au Mbowe alikamatwa Mwanza katika harakati za kuomba madai ya katiba mpya ndo sekeseke llilianzia pale .

ukija katika wema aliofanyiwa TAL na Serikali je una uhusiano wowote na madai yake ya sasa ya NO reform NO Election.

Paskali Muda wako sasa nadhani umefika kikomo wa kuendelea kuwa mwanahabari mbobezi ili kulinda heshima yako jaribu kuandaa watu wapya ambao watavaa viatu vyako .

Maana naona tangu 2016 haujarudi katika ubora wako.

Asante
Unafahamu uandishi?? Au umeamua tu kukurupuka na kumbagaza Pascal Mayalla ??

Nani kakuambia yale maswali hayana mantiki?
 
Kwa kweli wanahabari walionyesha udhaifu sana ni kama haya yanayoendelea katika chaguzi zetu hayawaumizi hata kidogo.

Sijajua wametishwa mambo gani ila wengi wako na hofu kubwa sana. Kama Mayala naona alikaza kuonesha wema wa Mama kwa mtu mmojammoja na kuyafukia kabisa maslahi ya taifa ambayo Tundu Lisu alijitahidi kuyaeleza kwa upana sana.

Waomba tusichoke kuomba kwa ajili ya taifa letu na zaidi sana hawa waliyojitolea kuwa sauti ya ardhi hii ya Tanzania.
Mungu yupo upande wetu USHINDI unakuja
Masilahi ya Taifa gani anapigania? Wakati watoto wake na mkewe wako Belgium na wamepata uraia wa huko.

Naye Lissu mkialianziasha anakimbilia ubalozi wowote kisha wanampakia kwenye ndege kwenda kwa shoga yake Amsterdam
 
Kwanza Kabisa nampogneza Ndugu Pascal Mayalla kwa kuifanya Kazi yake ya uandishi wa habari Kwa muda mrefu .

Kwa ambao tunamfahamu Pascall Mayalla wa miaka 20 nyuma ni tofauti na huyu wa sasa .

Kuna mambo matatu nimeyaona tangu mwaka 2016 tangu Pascal Mayalla aulize swali mbele ya the late JPM .

• 1 Baada ya kuuliza lile swali tata ambalo sio tu lilimfanya Mayalla kujulikana Ila lilimjengea Sana heshima kubwa kwake Ila inaonekana matokeo ya swali lake hayakuwa mazuri Sana .

Inawezekana alitishwa , inawezekana biashara zake na kampuni yake ilianza kufatiliwa n.k

Baada ya 2016 Pascal Mayalla amepoteza ule weledi wake .

Kosa kubwa alilolifanya ni kujiingiza Katika siasa za Ccm kipindi ambacho Ccm haimuhitaji, na kugombea ubunge wa Kawe pamoja na ubunge wa EAC.

Sasa baada ya kuingia Ccm bado hawampi ile heshima yake Kama Mwanahabari mkongwe na akihitaji Kuwa karibu na Mh bado hawamkubalii kirahisi

Mfano ilivyokuwa kule MBEYA.

Hivyo haya mambo yote anayoyapitia ameshindwa kujua kipi asimamie .

Ukifatilia maswali aliyomuuliza TAL juzi mbele ya Balile hayakuwa na weledi , yaani anachanganya mambo matatu Kwa wakati mmoja na kusahau maslahi ya nchi ni muhimu kuliko maslahi ya TAL

Mfano anamwambia TAL kuwa Mama alikufata Nairobi , alikubali kuonana na wewe Belgium na alimtoa Mbowe Gerezani .

Ebu jiulize haya maswali ?

Mama alienda Nairobi kumuona Lissu kitandani au alienda katika kuapishwa kwa Uhuru Kenyata ndo akapitia Kwa Lissu ?

Je Mama alienda Belgium kuonana na Lissu au alienda katika ziara yake binafsi ya kikazi Kama Rais na ndipo alionana na Lissu?

Je Mbowe kukaa gerezani Kwa mashtaka ya ugaidi ilikuwa halali na je ni Kazi ya Rais kusamehe magaidi wa hii nchi au Mbowe alikamatwa Mwanza katika harakati za kuomba madai ya katiba mpya ndo sekeseke llilianzia pale .

ukija katika wema aliofanyiwa TAL na Serikali je una uhusiano wowote na madai yake ya sasa ya NO reform NO Election.

Paskali Muda wako sasa nadhani umefika kikomo wa kuendelea kuwa mwanahabari mbobezi ili kulinda heshima yako jaribu kuandaa watu wapya ambao watavaa viatu vyako .

Maana naona tangu 2016 haujarudi katika ubora wako.

Asante
Mzee Pascal Mayalla say something
..
 
Kwa kweli wanahabari walionyesha udhaifu sana ni kama haya yanayoendelea katika chaguzi zetu hayawaumizi hata kidogo.

Sijajua wametishwa mambo gani ila wengi wako na hofu kubwa sana. Kama Mayala naona alikaza kuonesha wema wa Mama kwa mtu mmojammoja na kuyafukia kabisa maslahi ya taifa ambayo Tundu Lisu alijitahidi kuyaeleza kwa upana sana.

Waomba tusichoke kuomba kwa ajili ya taifa letu na zaidi sana hawa waliyojitolea kuwa sauti ya ardhi hii ya Tanzania.
Mungu yupo upande wetu USHINDI unakuja
Mkuu, katika ile press, Mh. Lisu alikuwa kama vile ana toa darasa kwa waalikwa kuhusu " somo la Haki za Raia wa Tanzania kwa Mujibu wa Katiba ya yao"
 
Kati ya tasnia ambazo zipo hoi, na akili zao zimenyakuliwa na CCM, ni tasinia ya habari.

Wengi wameamua kuwa machawa. Na siku zote, hakuna chawa mwenye akili timamu. Kuwa chawa, ni lazima kichwani uwe umevurugika kwanza.
Hivi hawana umoja wao kama wanahabari ili waweze kujitetea pale wanapovamiwa na wenye hila za kuwaharibia heshima ya taaluma yao?
 
Maswali yote angeniuliza mimi badala ya Lissu mimi ningemjibu licha ya kuwa mimi ni mweupe kwenye siasa.

Huyo father maswali yalikuwa ya kitoto sana hadi nikakasirika.

Ila dakika ya mwisho nilimuelewa kwamba pale ni kama alikuwa mtu wa kujaribu kuweka vikwazo tu no matter ni kwa weledi au bila weledi ila awe tu kama disturbance.
 
Back
Top Bottom