Mkuu, nakumbuka kipindi kile cha "KITIMOTO," nadhani ilikuwa The Kilimanjaro Hotel alikuwa safi sana, alifanyakazi zake kwa mujibu wa Taalumu yake, leo naona kama sie ule.Thread zake kipindi anajiita Pasco zilikuwa na hoja nzito kweli kweli.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, nakumbuka kipindi kile cha "KITIMOTO," nadhani ilikuwa The Kilimanjaro Hotel alikuwa safi sana, alifanyakazi zake kwa mujibu wa Taalumu yake, leo naona kama sie ule.Thread zake kipindi anajiita Pasco zilikuwa na hoja nzito kweli kweli.
Mkuu, ukiona Members JF wana jadili mambo ya msingi kwa manuufaa ya Nchi na wewe unaona kabisa yapo juu ya uwezo wako, tafadhali pita tu polepole nenda tu Tiktok utawakuta wenye level yako.Masilahi ya Taifa gani anapigania? Wakati watoto wake na mkewe wako Belgium na wamepata uraia wa huko.
Naye Lissu mkialianziasha anakimbilia ubalozi wowote kisha wanampakia kwenye ndege kwenda kwa shoga yake Amsterdam
Huyo ni miongoni nwa wapumbavu wachache wanaojali matumbo yaoKwanza Kabisa nampogneza Ndugu Pascal Mayalla kwa kuifanya Kazi yake ya uandishi wa habari Kwa muda mrefu .
Kwa ambao tunamfahamu Pascall Mayalla wa miaka 20 nyuma ni tofauti na huyu wa sasa .
Kuna mambo matatu nimeyaona tangu mwaka 2016 tangu Pascal Mayalla aulize swali mbele ya the late JPM .
• 1 Baada ya kuuliza lile swali tata ambalo sio tu lilimfanya Mayalla kujulikana Ila lilimjengea Sana heshima kubwa kwake Ila inaonekana matokeo ya swali lake hayakuwa mazuri Sana .
Inawezekana alitishwa , inawezekana biashara zake na kampuni yake ilianza kufatiliwa n.k
Baada ya 2016 Pascal Mayalla amepoteza ule weledi wake .
Kosa kubwa alilolifanya ni kujiingiza Katika siasa za Ccm kipindi ambacho Ccm haimuhitaji, na kugombea ubunge wa Kawe pamoja na ubunge wa EAC.
Sasa baada ya kuingia Ccm bado hawampi ile heshima yake Kama Mwanahabari mkongwe na akihitaji Kuwa karibu na Mh bado hawamkubalii kirahisi
Mfano ilivyokuwa kule MBEYA.
Hivyo haya mambo yote anayoyapitia ameshindwa kujua kipi asimamie .
Ukifatilia maswali aliyomuuliza TAL juzi mbele ya Balile hayakuwa na weledi , yaani anachanganya mambo matatu Kwa wakati mmoja na kusahau maslahi ya nchi ni muhimu kuliko maslahi ya TAL
Mfano anamwambia TAL kuwa Mama alikufata Nairobi , alikubali kuonana na wewe Belgium na alimtoa Mbowe Gerezani .
Ebu jiulize haya maswali ?
Mama alienda Nairobi kumuona Lissu kitandani au alienda katika kuapishwa kwa Uhuru Kenyata ndo akapitia Kwa Lissu ?
Je Mama alienda Belgium kuonana na Lissu au alienda katika ziara yake binafsi ya kikazi Kama Rais na ndipo alionana na Lissu?
Je, Mbowe kukaa gerezani Kwa mashtaka ya ugaidi ilikuwa halali na je ni Kazi ya Rais kusamehe magaidi wa hii nchi au Mbowe alikamatwa Mwanza katika harakati za kuomba madai ya katiba mpya ndo sekeseke llilianzia pale .
Ukija katika wema aliofanyiwa TAL na Serikali je una uhusiano wowote na madai yake ya sasa ya NO reform NO Election.
Paskali Muda wako sasa nadhani umefika kikomo wa kuendelea kuwa mwanahabari mbobezi ili kulinda heshima yako jaribu kuandaa watu wapya ambao watavaa viatu vyako .
Maana naona tangu 2016 haujarudi katika ubora wako.
Asante
Unaweza wewe ndiyo ukawa na matatizo ya mtindio wa ubongo. Endeleeni kumsikiliza huyo, hamtoboiMkuu, ukiona Members JF wana jadili mambo ya msingi kwa manuufaa ya Nchi na wewe unaona kabisa yapo juu ya uwezo wako, tafadhali pita tu polepole nenda tu Tiktok utawakuta wenye level yako.
Comrade Pascal Mayalla kama haya ndiyo maswali uliyomuuliza Mh. Tundu Lissu, basi naungana na mtoa mada; hapa ulipuyanga Comrade. Maana hayana uhusiano na harakati za kudai uwepo wa uchaguzi huru na wa haki.Kwanza Kabisa nampogneza Ndugu Pascal Mayalla kwa kuifanya Kazi yake ya uandishi wa habari Kwa muda mrefu .
Kwa ambao tunamfahamu Pascall Mayalla wa miaka 20 nyuma ni tofauti na huyu wa sasa .
Kuna mambo matatu nimeyaona tangu mwaka 2016 tangu Pascal Mayalla aulize swali mbele ya the late JPM .
• 1 Baada ya kuuliza lile swali tata ambalo sio tu lilimfanya Mayalla kujulikana Ila lilimjengea Sana heshima kubwa kwake Ila inaonekana matokeo ya swali lake hayakuwa mazuri Sana .
Inawezekana alitishwa , inawezekana biashara zake na kampuni yake ilianza kufatiliwa n.k
Baada ya 2016 Pascal Mayalla amepoteza ule weledi wake .
Kosa kubwa alilolifanya ni kujiingiza Katika siasa za Ccm kipindi ambacho Ccm haimuhitaji, na kugombea ubunge wa Kawe pamoja na ubunge wa EAC.
Sasa baada ya kuingia Ccm bado hawampi ile heshima yake Kama Mwanahabari mkongwe na akihitaji Kuwa karibu na Mh bado hawamkubalii kirahisi
Mfano ilivyokuwa kule MBEYA.
Hivyo haya mambo yote anayoyapitia ameshindwa kujua kipi asimamie .
Ukifatilia maswali aliyomuuliza TAL juzi mbele ya Balile hayakuwa na weledi , yaani anachanganya mambo matatu Kwa wakati mmoja na kusahau maslahi ya nchi ni muhimu kuliko maslahi ya TAL
Mfano anamwambia TAL kuwa Mama alikufata Nairobi , alikubali kuonana na wewe Belgium na alimtoa Mbowe Gerezani .
Ebu jiulize haya maswali ?
Mama alienda Nairobi kumuona Lissu kitandani au alienda katika kuapishwa kwa Uhuru Kenyata ndo akapitia Kwa Lissu ?
Je Mama alienda Belgium kuonana na Lissu au alienda katika ziara yake binafsi ya kikazi Kama Rais na ndipo alionana na Lissu?
Je, Mbowe kukaa gerezani Kwa mashtaka ya ugaidi ilikuwa halali na je ni Kazi ya Rais kusamehe magaidi wa hii nchi au Mbowe alikamatwa Mwanza katika harakati za kuomba madai ya katiba mpya ndo sekeseke llilianzia pale .
Ukija katika wema aliofanyiwa TAL na Serikali je una uhusiano wowote na madai yake ya sasa ya NO reform NO Election.
Paskali Muda wako sasa nadhani umefika kikomo wa kuendelea kuwa mwanahabari mbobezi ili kulinda heshima yako jaribu kuandaa watu wapya ambao watavaa viatu vyako .
Maana naona tangu 2016 haujarudi katika ubora wako.
Asante
Naunga mkono hoja huyo jamaa ni loophole hamna kitu kati wanahabari bangaifu huyo ni mmoja wao.Tanzania bana binafsi sijaona jambo linaloweza kunishawishi kwamba mayala amewahi kuwa kwenye ubora huuo?
Nilimfahamu Kwa kutangaza saasaba na alitangaza kawaida bila maajabu yoyote!
Huyu Pasco mnamsifu kuliko hali halisi embu tujifunze Kwa wenzetu kama maana huwa tunasifia ujinga mwingi
Wewe jeshini ulienda kula ugali tuMasilahi ya Taifa gani anapigania? Wakati watoto wake na mkewe wako Belgium na wamepata uraia wa huko.
Naye Lissu mkialianziasha anakimbilia ubalozi wowote kisha wanampakia kwenye ndege kwenda kwa shoga yake Amsterdam
Mimi binafsi sijawahi muona kama ni critical thinker kupitia tu nyuzi zake za hapa jamiiforum ni wakawaida sanaTanzania bana binafsi sijaona jambo linaloweza kunishawishi kwamba mayala amewahi kuwa kwenye ubora huuo?
Nilimfahamu Kwa kutangaza saasaba na alitangaza kawaida bila maajabu yoyote!
Huyu Pasco mnamsifu kuliko hali halisi embu tujifunze Kwa wenzetu kama maana huwa tunasifia ujinga mwingi
A step down ili afanye niniKwanza Kabisa nampogneza Ndugu Pascal Mayalla kwa kuifanya Kazi yake ya uandishi wa habari Kwa muda mrefu .
Kwa ambao tunamfahamu Pascall Mayalla wa miaka 20 nyuma ni tofauti na huyu wa sasa .
Kuna mambo matatu nimeyaona tangu mwaka 2016 tangu Pascal Mayalla aulize swali mbele ya the late JPM .
• 1 Baada ya kuuliza lile swali tata ambalo sio tu lilimfanya Mayalla kujulikana Ila lilimjengea Sana heshima kubwa kwake Ila inaonekana matokeo ya swali lake hayakuwa mazuri Sana .
Inawezekana alitishwa , inawezekana biashara zake na kampuni yake ilianza kufatiliwa n.k
Baada ya 2016 Pascal Mayalla amepoteza ule weledi wake .
Kosa kubwa alilolifanya ni kujiingiza Katika siasa za Ccm kipindi ambacho Ccm haimuhitaji, na kugombea ubunge wa Kawe pamoja na ubunge wa EAC.
Sasa baada ya kuingia Ccm bado hawampi ile heshima yake Kama Mwanahabari mkongwe na akihitaji Kuwa karibu na Mh bado hawamkubalii kirahisi
Mfano ilivyokuwa kule MBEYA.
Hivyo haya mambo yote anayoyapitia ameshindwa kujua kipi asimamie .
Ukifatilia maswali aliyomuuliza TAL juzi mbele ya Balile hayakuwa na weledi , yaani anachanganya mambo matatu Kwa wakati mmoja na kusahau maslahi ya nchi ni muhimu kuliko maslahi ya TAL
Mfano anamwambia TAL kuwa Mama alikufata Nairobi , alikubali kuonana na wewe Belgium na alimtoa Mbowe Gerezani .
Ebu jiulize haya maswali ?
Mama alienda Nairobi kumuona Lissu kitandani au alienda katika kuapishwa kwa Uhuru Kenyata ndo akapitia Kwa Lissu ?
Je Mama alienda Belgium kuonana na Lissu au alienda katika ziara yake binafsi ya kikazi Kama Rais na ndipo alionana na Lissu?
Je, Mbowe kukaa gerezani Kwa mashtaka ya ugaidi ilikuwa halali na je ni Kazi ya Rais kusamehe magaidi wa hii nchi au Mbowe alikamatwa Mwanza katika harakati za kuomba madai ya katiba mpya ndo sekeseke llilianzia pale .
Ukija katika wema aliofanyiwa TAL na Serikali je una uhusiano wowote na madai yake ya sasa ya NO reform NO Election.
Paskali Muda wako sasa nadhani umefika kikomo wa kuendelea kuwa mwanahabari mbobezi ili kulinda heshima yako jaribu kuandaa watu wapya ambao watavaa viatu vyako .
Maana naona tangu 2016 haujarudi katika ubora wako.
Asante
Mama kutumia muda wake kwenda kumtembelea ni upendo na utu mkubwa sana. Mayalla amekosea nini, mengine ni mtazamo wako ukizingatia uko kinyume sana na hii serikali. Paschal awe na msimamo haiwezekani uikosoe CCM mara pap unataka utumie tiketi yake kupata uongozi. Paschal awe na msimamo awe mjanja.Kwanza Kabisa nampogneza Ndugu Pascal Mayalla kwa kuifanya Kazi yake ya uandishi wa habari Kwa muda mrefu .
Kwa ambao tunamfahamu Pascall Mayalla wa miaka 20 nyuma ni tofauti na huyu wa sasa .
Kuna mambo matatu nimeyaona tangu mwaka 2016 tangu Pascal Mayalla aulize swali mbele ya the late JPM .
• 1 Baada ya kuuliza lile swali tata ambalo sio tu lilimfanya Mayalla kujulikana Ila lilimjengea Sana heshima kubwa kwake Ila inaonekana matokeo ya swali lake hayakuwa mazuri Sana .
Inawezekana alitishwa , inawezekana biashara zake na kampuni yake ilianza kufatiliwa n.k
Baada ya 2016 Pascal Mayalla amepoteza ule weledi wake .
Kosa kubwa alilolifanya ni kujiingiza Katika siasa za Ccm kipindi ambacho Ccm haimuhitaji, na kugombea ubunge wa Kawe pamoja na ubunge wa EAC.
Sasa baada ya kuingia Ccm bado hawampi ile heshima yake Kama Mwanahabari mkongwe na akihitaji Kuwa karibu na Mh bado hawamkubalii kirahisi
Mfano ilivyokuwa kule MBEYA.
Hivyo haya mambo yote anayoyapitia ameshindwa kujua kipi asimamie .
Ukifatilia maswali aliyomuuliza TAL juzi mbele ya Balile hayakuwa na weledi , yaani anachanganya mambo matatu Kwa wakati mmoja na kusahau maslahi ya nchi ni muhimu kuliko maslahi ya TAL
Mfano anamwambia TAL kuwa Mama alikufata Nairobi , alikubali kuonana na wewe Belgium na alimtoa Mbowe Gerezani .
Ebu jiulize haya maswali ?
Mama alienda Nairobi kumuona Lissu kitandani au alienda katika kuapishwa kwa Uhuru Kenyata ndo akapitia Kwa Lissu ?
Je Mama alienda Belgium kuonana na Lissu au alienda katika ziara yake binafsi ya kikazi Kama Rais na ndipo alionana na Lissu?
Je, Mbowe kukaa gerezani Kwa mashtaka ya ugaidi ilikuwa halali na je ni Kazi ya Rais kusamehe magaidi wa hii nchi au Mbowe alikamatwa Mwanza katika harakati za kuomba madai ya katiba mpya ndo sekeseke llilianzia pale .
Ukija katika wema aliofanyiwa TAL na Serikali je una uhusiano wowote na madai yake ya sasa ya NO reform NO Election.
Paskali Muda wako sasa nadhani umefika kikomo wa kuendelea kuwa mwanahabari mbobezi ili kulinda heshima yako jaribu kuandaa watu wapya ambao watavaa viatu vyako .
Maana naona tangu 2016 haujarudi katika ubora wako.
Asante
mayallaKwanza Kabisa nampogneza Ndugu Pascal Mayalla kwa kuifanya Kazi yake ya uandishi wa habari Kwa muda mrefu .

Wewe ulikwenda kula chips??Wewe jeshini ulienda kula ugali tu
Shida ni kwamba watu wengi wanahisi chadema chini ya lisu kwamba wanadili na mtu.Kwanza Kabisa nampogneza Ndugu Pascal Mayalla kwa kuifanya Kazi yake ya uandishi wa habari Kwa muda mrefu .
Kwa ambao tunamfahamu Pascall Mayalla wa miaka 20 nyuma ni tofauti na huyu wa sasa .
Kuna mambo matatu nimeyaona tangu mwaka 2016 tangu Pascal Mayalla aulize swali mbele ya the late JPM .
• 1 Baada ya kuuliza lile swali tata ambalo sio tu lilimfanya Mayalla kujulikana Ila lilimjengea Sana heshima kubwa kwake Ila inaonekana matokeo ya swali lake hayakuwa mazuri Sana .
Inawezekana alitishwa , inawezekana biashara zake na kampuni yake ilianza kufatiliwa n.k
Baada ya 2016 Pascal Mayalla amepoteza ule weledi wake .
Kosa kubwa alilolifanya ni kujiingiza Katika siasa za Ccm kipindi ambacho Ccm haimuhitaji, na kugombea ubunge wa Kawe pamoja na ubunge wa EAC.
Sasa baada ya kuingia Ccm bado hawampi ile heshima yake Kama Mwanahabari mkongwe na akihitaji Kuwa karibu na Mh bado hawamkubalii kirahisi
Mfano ilivyokuwa kule MBEYA.
Hivyo haya mambo yote anayoyapitia ameshindwa kujua kipi asimamie .
Ukifatilia maswali aliyomuuliza TAL juzi mbele ya Balile hayakuwa na weledi , yaani anachanganya mambo matatu Kwa wakati mmoja na kusahau maslahi ya nchi ni muhimu kuliko maslahi ya TAL
Mfano anamwambia TAL kuwa Mama alikufata Nairobi , alikubali kuonana na wewe Belgium na alimtoa Mbowe Gerezani .
Ebu jiulize haya maswali ?
Mama alienda Nairobi kumuona Lissu kitandani au alienda katika kuapishwa kwa Uhuru Kenyata ndo akapitia Kwa Lissu ?
Je Mama alienda Belgium kuonana na Lissu au alienda katika ziara yake binafsi ya kikazi Kama Rais na ndipo alionana na Lissu?
Je, Mbowe kukaa gerezani Kwa mashtaka ya ugaidi ilikuwa halali na je ni Kazi ya Rais kusamehe magaidi wa hii nchi au Mbowe alikamatwa Mwanza katika harakati za kuomba madai ya katiba mpya ndo sekeseke llilianzia pale .
Ukija katika wema aliofanyiwa TAL na Serikali je una uhusiano wowote na madai yake ya sasa ya NO reform NO Election.
Paskali Muda wako sasa nadhani umefika kikomo wa kuendelea kuwa mwanahabari mbobezi ili kulinda heshima yako jaribu kuandaa watu wapya ambao watavaa viatu vyako .
Maana naona tangu 2016 haujarudi katika ubora wako.
Asante
Hebu soma tena uzi, swali lako litajijibu lenyewe through this thread.Kwahiyo alivyomuuliza maswali Magulufuli alijijengea heshima ila alivyomuuliza maswali lisu kajivunjia heshima?